Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Unapasahau Arusha Coffee? Mazingira ake ni safi kwa kukwarua ani
 
Hivi KiliGolf ipo Usa river au maji ya chai?
 
What a blessed girl dah
 
Muwezeshe yeyote mwenye uhitaji huko, (mjane au mwanadada mpambanaji n.k), kwa chochote.

Just, ku-share faraja.
Ninashukuru
Nina ndugu zangu wa tatu
Ndo tunainuana kwa sasa
Si unajua charity inaanzia nyumbani

Ila nashukuru sana
Hua namuomba Mungu aniwezeshe na mimi niwezeshe wengine
Asante kwa remeinder hii ya kibabe kabisa
100%
 
Umepasahau pale ilipokua birthday yako...
 
kuna mchongo wangu ukikaa sawa nakutafuta hapo kwenye namba 9 na 5 ndio mambo yangu😎 Inshallah mwezi wa 11 na 12 ntakuwepo huko nile bata sana zanzibar nishapachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…