Sehem nzuri za kuenjoy/kupumzika moshi /Arusha naziomba

Bia ni bia ndio bia gani unatumia mkuu?
Bia yangu ni serengeti lite au castle mkuu imported beer nyingi fake bora nibaki nyumbani....kuna kiwanja kinaitwa the location hapa Arusha karibu na uzunguni park nilipewa Heineken ina radha kama ya gongo sikuimaliza toka hapo rasmi nikaacha kunywa imported beer.
 
Wenye mji wenu ndio nyie sasa.

Nilienda gran melia location yake ni nzuri ila wahudumu miyayusho sana wanashobokea wazungu sana wateja wa kibongo wanatuona kama wafanyakazi wenzao.

Yahn nimetoka kuuza red spinel gram 23 unataka kunichukulia poa.
 
Hotel zote za style hiyo
Wanaujinga huo
Yaani wanaenda meza ya mzungu kama nyuki ila wakiona ngozi nyeusi mpaka uite mara nyingi sana
Sio hiyo tu
Hata hizi za dar
Wanakuona kama ombaomba
Wakati utalipia
 
Wenye mji wenu ndio nyie sasa.

Nilienda gran melia location yake ni nzuri ila wahudumu miyayusho sana wanashobokea wazungu sana wateja wa kibongo wanatuona kama wafanyakazi wenzao.

Yahn nimetoka kuuza red spinel gram 23 unataka kunichukulia poa.
Ila kweli… kuna wakati walipofanya mabadiliko ya kuacha kupokea cash, tumeenda tumeuliziwa mlangoni pale roof top jamani et mnalipa kwa njia gani? Hatupokei cash siku hizi, na mm nikamjibu sitembeagi na cash dada wezi wengi mkoani kwenu πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa unamuulizaje mtu analipa kwa njia gani hata hajakaa kwa meza?? Si usubiri unapompa menu ndio umwambie na taratibu zenu!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ The Location imejificha sana jamani
Me mtu akipajua kule namuona mleviii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ The Location imejificha sana jamani
Me mtu akipajua kule namuona mleviii
Hahaha pamejificha kwelikweli siku ya kwanza naenda nikajua huku patakauwa kama bar zetu za vichochoroni kumbe nao wanajikuta washua bei za kitalii.
 
Ni 5000 ndiyo
Bei ya kizalendo tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila utaratibu wao uko poa, siku ukiwa na mtoto mkali sio chakaramu au mgeni wa heshima ndio mahali pake bei zake ni za kukimbiza wahuni wasikanyage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…