Yeye kafanya nn,mkoa umemshinda
Umesoma? au umeangali tu?Umesema waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano ni Prof Makame Mbawala?Endelea kuota brother
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads
Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa
Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).
Akizungumza katika mjadala wa bajeti hiyo leo Jumatatu, Aprili 23 bungeni mjini Dodoma, Silinde amesema, “Kuna usiri gani wa kuleta taarifa ya ukaguzi wa ATCL bungeni. Isije kuwa tunapigwa fedha kupitia shirika hili. Tunataka waziri atueleze sababu ni nini?
“Pia ukaguzi wa Tanroads nao hauonekani na kuna taarifa huko mitaani kuna miradi hewa ya barabara iliyogharimu Sh282bilioni, tunataka kujua thamani ya barabara zinazojengwa kupitia ukaguzi wa CAG. Mtueleze kwanini hauletwi hapa bungeni.”
Kwa mfano: Hii Kampuni iliyokula Bilioni 14 bila kujenga hata mita moja pamoja na umuhimu wa barabara ya Makutano, Natta, Mugumu, Loliondo mpaka Mto wa Mbu kwa utalii Serengeti ndio imejenga Chato Airport, unajua kwanini?
View attachment 1245587
Nice chief umeongea kizalendo sana. Mungu akubariki maisha yakoNahisi wananchi wengi ni wajinga sana kuweza kuwa na akili ya kufuatilia hayo mambo. Hata kama wanatuita keyboard heroes, ni sawa,ila tunajitahidi sana kuwaelewesha. Haya mambo tunayaongea humu like everyday! CAG anazuiwa kukagua manunuzi ya ndege, kukagua ATCL,Madini, n.k. Pengine kuna mengi zaidi amezuiwa,hatujui. Fedha kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CAG zimepigwa panga.Yanafanyika manunuzi bila kupitishwa na bunge wala kufuata procurement law,wananchi wanaona ni sawa. Attitude za wananchi wenzetu zinakatisha tamaa sana.
Hii ni habari ya mwezi wa nne mkuu... Kwamba hata tarehe hukuiona?Umesema waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano ni Prof Makame Mbawala?Endelea kuota brother
Profesa Makame Mbarawa ni waziri wa ujenzi? Eti huyu ndiyo akili kubwa ya chadema anayetegemewa ni aibu.
Ofisi yenu ufipa haikupitia hii kabla ya kupost au ndiyo uwezo wenu umeisha hapo.
Yaani hujui hata Professor Mbarawa ni Waziri ktk Wizara gani?
Sheria za matumizi ya fedha za umma zilizotungwa enzi zile zilikataa kukagua matumizi yanayofanyika ofisi ya raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Matumizi ya MASHIRIKA YA ATCL NA TANRODS hayakaguliwi kwa mujibu wa sheria siyo kwa matakwa ya JPM tulieni vilaza nyie msiwapotoshe watanzania.
Nahisi CAG ajaye atakuwa ni kada wa CCM sampuli ya Humphrey Pole Pole.Nahisi wananchi wengi ni wajinga sana kuweza kuwa na akili ya kufuatilia hayo mambo. Hata kama wanatuita keyboard heroes, ni sawa,ila tunajitahidi sana kuwaelewesha. Haya mambo tunayaongea humu like everyday! CAG anazuiwa kukagua manunuzi ya ndege, kukagua ATCL,Madini, n.k. Pengine kuna mengi zaidi amezuiwa,hatujui. Fedha kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CAG zimepigwa panga.Yanafanyika manunuzi bila kupitishwa na bunge wala kufuata procurement law,wananchi wanaona ni sawa. Attitude za wananchi wenzetu zinakatisha tamaa sana.
Hawajawahi kuwa wasafiFedha zetu ni za familia.Kama ni wasafi kwann wanaogope uwazi
we ndo kilaza kama hata hujui shrika la ATCL halikua chini ya rais meko alvyoingia akaon kuagiza scraper atapigamo akaamua kuliweka chini yakeSheria za matumizi ya fedha za umma zilizotungwa enzi zile zilikataa kukagua matumizi yanayofanyika ofisi ya raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mapato na matumizi ya MIGODI YOTE YA SERIKALI, MASHIRIKA YA ATCL NA TANRODS hayakaguliwi kwa mujibu wa sheria siyo kwa matakwa ya JPM tulieni vilaza nyie msiwapotoshe watanzania.
Mtapata tabu sana awamu hii ya tano wapiga madili hali yenu itazidi kuwa mbaya
Many thanks mkuu.Nice chief umeongea kizalendo sana. Mungu akubariki maisha yako