Sehemu gani nzuri kupumzika Dar es Salaam na baby?

[emoji15] [emoji15]

Huyu star wa wp ambae hajui hata maeneo ya kupigia bata DSM?????

Au unatafuta kick?????
 
Sina hela maana wanawake siku hizi wanadai kuwa hata kondoo ana korodani ila anakosa fedha. Hivyo hela kiduchu nilizo nazo nahangaika na sabuni. Kama unazo nitumie MPesa ila najua na wewe mwenzangu ni kapuku ingawa ni teja
 
Mimi si saizi yako maana mie wanawake warembo huwa wananikimbia kwa vile ni sura mbaya na nimepigwa mhuri usoni unasomeka kuwa sina Hela ila mwenzangu ndoto za kiteja za mchana zinakusumbua
hapana we hua kitu, mvuto wa kimapenzi huna, pesa huna sasa mwanamke gani akutake ndugu yangu embu katafute hela bwana angalau uwapate mamantilie angalai watakuliwaza
 
Sina hela maana wanawake siku hizi wanadai kuwa hata kondoo ana korodani ila anakosa fedha. Hivyo hela kiduchu nilizo nazo nahangaika na sabuni. Kama unazo nitumie MPesa ila najua na wewe mwenzangu ni kapuku ingawa ni teja
nishajua kwa nini mashoga wengi wana historia ya umaskini
 
Natafuta sehemu hapa mjini nifungue duka la vifaa vya ujenzi
 
Natafuta sehemu hapa mjini nifungue duka la vifaa vya ujenzi
hongera mkuu una constructive ideas lakin hapa si mahali pake, kwanza uzi unasemaje? mkuu samahani sana usitake ugomvi na mimi tafadhali
 
hapana we hua kitu, mvuto wa kimapenzi huna, pesa huna sasa mwanamke gani akutake ndugu yangu embu katafute hela bwana angalau uwapate mamantilie angalai watakuliwaza
Hivi unajua mamantilie wanaingiza kiasi gani kwa siku? Kweli wewe ni mwenzangu wanawake unawaona katika sreen za kimchina chako tu. Sasa pumzika kidogo usilete aibu tena hata watoto wazuri akina amu wanakudharau
 
hongera mkuu una constructive ideas lakin hapa si mahali pake, kwanza uzi unasemaje? mkuu samahani sana usitake ugomvi na mimi tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa mkuu!!
 
Kwaiyo hata hii thread umeifungua ufuraishe watu??????....
 
Kwaiyo hata hii thread umeifungua ufuraishe watu??????....
nope sasa wewe kama umesoma na kuelewa unahitaji nini tena, ningelikua nadanganya siungesha jua. hizo nyigne nin story but real sasa nahitaji kujichana mambo ya shida nataka kwa kiasi flani niyasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…