Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.

Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.
 
Kwhy unaamini kabisa mtu hawezi kutoka na mpenzi wake kwa bajeti ya 100K.

Hivi unahisi dunia hii inajzungusha kwenye kichwa chako?
Kwamba maisha fulani ndio standard.
Wala usipandishe sukari mkuu hiyo nyingi sana na chenchi inabaki, nendeni Johari Rottana 😹
 
Ngoja nikupangie ratiba kutoka Mchana hadi Usiku kijana.

Asubuhi
-Kula msosi mzuri, home ili uwe na nguvu siku nzima.

Mchana
-Nendeni beach za public (Coco itakua nzuri)
-Usimlishe mihogo mtoto wa watu.
-Kuna restaurant inauza Pizza pale mnaweza kula nikikumbuka jina nakutajia, hawana option ya size so zote nahisi ni large mnakula kwa 25,000 mnapata

Jioni
-Mkitoka Coco nendeni Sleepway mkashangae shangae.
-Hapa mtakula ice cream cheap isivuke 10,000 wewe usile mpe mtoto tu.

Usiku
(Nita assume hamtumii vilevi)
-Nenda cinema 20,000
-Unavyotoka pitia Streetwise 3 hapo KFC na Crusher moja 25,000

Ili asile sana, kila mkikutana na wasukuma baiskeli wa Azam mnunulie.

Usinunue maji makubwa mkawa mnatembea nayo.

Tumia Bolt ya Bajaji usitumie ya Gari.

ASIJE NA WENZAKE.

All the best kaka
 
mmh mwambie aende tu buza hapo masaki msosi tu elfu 80 na kuendelea hapo bado hajalipa kiingilio hiyo laki hamna kitu asiende masaki
Hapana, masaki hapo hapo atapata affordable price. Aende kwa hawa niliomwambia kuna wide range selection ya around 30k unapata msosi wako poa kabisa. Ningeweza kuweka menu zaidi ila huo ni mfano
 
Nenda naye Sewa bar Buguruni
 
Asante mkuu, ubarikiwe.
 
Unataka mziki gani, kwenye hotel/resturant huwezi piga mziki unaotaka wa kuchangamka
Nendeni launge, ambazo siku hizi wanaita club (Tips ile ya mikocheni price zao ziko chini na mziki kama ni mchana)
Restaurant, nenda Cairo bei zao kwahiyo budget ni sawa.
lavente ila uwe selective kwenye vyakula usizidi budget
Central park pia panakufaa
Nenda kai enjoy
 
Chumbani ni sehemu nzuri zaidi
 
Tuweni serious wakuu.....

Laki haitoshi kwa dinner?

Na ukizingatia sio pombe wanakunywa! zaidi sana chakula na smoothie au soda Incase

zioo sehemu kibao tuu sema kila mtu atataka uende karambezi, au johari, Serena

Hapo nimeona umesema upo ubungo...... Around hapo Kuna hotel nyingi mpk unafika magomeni za bei nafuu

Ipo moja manzese nilikula kuku na chipsi, karibu na mrina nadhani japo ilikuwa sehemu ya bar, walikuwa affordable

Kikubwa ni dinner iz it...... Jilipue Lamomy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…