Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

Ilikufa...imekuja la chaaz..hana 8mths atafunga
Hivi tatizo ni nn?

Kuna tuhuma nilizisikiaga za jamaa huyo mkongwr kwamba ni mwanga hatari yeye na mkewe.. hawataki upinzani hata kidogo[emoji23][emoji23] wakijua ni mpinzani wnaakupuliza unafunga mwenyewe
 
Story za wasukuma unanikumbusha maskani yangu miaka ya 2014 pale karibu na gereji ya BM. Usiku walikuwa wanapigwa Sana pesa wakikosa vyumba Guest walikuwa wanapelekwa Kule Mtawala au Mazimbu.
 
Napapata forest mkuu... napapata ipasavyo. Ni kweli kabisa pametulia.
Ila bei za maeneo haziendani kbs
Si ndo sababu kunaitwa forest mkuu!! Bei juu kule kwasababu ya mazingira tulivu, lami mpaka mlangoni, karibu na town, maji 24/7 na ile hali ya miti miti mingi ndo inafanya forest iwe juu
 
Asante Sana Mkuu.Unafaa kuwa Kamati ya mapokezi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna area ni low density utapakubali .huko forest nw hakukamatik kwa bei za ! All in all moro hali ya hewa ni nzuri kuishi ..
NDIYO Ukweli Wenyewe
Asante Sana Mkuu.Unafaa kuwa Kamati ya mapokezi[emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‰πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…