Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
 
Ujui kitu ,watengenezajinwa simu kazi yao moja tu kuuza device income yao ni kuuza device kwa wingi , application inapotumika kila siku hauwausu katika kuingiza kipato
Ungesema kama kuna hardware inatoka ulaya hapo ningekuelewa
Heti mchina anatengeneza kopo ya sijui upo level gani ya technology
 
Tuliosoma software engineering:
asilimia 98 ni software na asilimia 2 iliyobaki ni hardware kwenye vifaa vyote kuanzia kompyuta ,simu janja na n.k

software ndio ina tawala mifumo mingi na watengenezaji wakubwa wa software ni USA ndio maana leo kuna android ambayo imezalisha OS nyingi za andoid.ukija kwenye linux,microsoft,apple na n.k

ndio maana USA anatajilika kwa sababu ya leseni yake
 
Mleta mada unachanganya vitu hapo,Naona unataja apps badala ya OPs!
 
... nikukunbushe Tu Huawei alikuwa anaenda kuwatoa sumsung na iPhone na kuwa kinara WA simu zake kuuzwa sana duniani naonaa Marekani akatafuta sababu akaweka vikwazo ili kumshusha Ila Jambo la muda Tu atarudi chini uyoo mewenu
kwa kauli hiyo, ni kama vile unakubaliana na hoja ya mleta mada, ila labda unajipa matumaini kwamba ipo siku moja hayo yataisha
 
Bila shaka hujui chochote kuhusu software distributions na hardware manufacturing

Twitter, Facebook na zote ulizotaja hapo zinatolewa bure na license ya matumizi ni kati ya software providers end user (sio kampuni iliyotengeneza simu)

Wanachonunua ni operating system ya Android ambayo wananunua bulk license ambayo ni bei ndogo sana. (Taarifa za kina zipo www. android.com)

Hiyo OS ya android inatolewa bure kwa non commercial use

Mleta mada ana tatizo kichwani
 
Nonsense
 
Eti nao wachina wako mbioni kuwa na software zake. Wataunda simu na program zao. Toka watangaze ujio wa hizo bado hawajafanikiwa kuzisambaza. USA kiboko. Wanaona mbali sana. Hivi wanamzoom tu RussiA anavyojikanyaga kanyaga
 
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
Mama weeew umelala Ali JoJo kweli wewe ......Apple inatengeneza vingi sema ni bei Sana.......Kwa mfano wewe najua umezoea TV ya Samsung na Sony na lg na nyingine baadhi.....lakini apple Pia Wana TV wanatengeneza sema ni bei ghali sana
 
Huwawei haitumuii Android system ๐Ÿ˜
 
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
Thamani ya Apple ni USD trillion 3 sawa na GDP ya uingereza...... Google najua utakaa Kwa kutulia
 
Eti nao wachina wako mbioni kuwa na software zake. Wataunda simu na program zao. Toka watangaze ujio wa hizo bado hawajafanikiwa kuzisambaza. USA kiboko. Wanaona mbali sana. Hivi wanamzoom tu RussiA anavyojikanyaga kanyaga
Unamfananishaje China na Russia wakati ni mbingu na ardhi๐Ÿ˜„
 
Mimi mwenyewe nashangaa ๐Ÿ˜
 
M
Nani kakwambia haitumii android
Zee baba mbona unakuwa mbishi Huwawei walishabigwa ban kutumia android system saiz wanatumia system yao Ina os harmony imezinduliwa mwaka Jana June mpaka sasa Ina users 200million๐Ÿ˜„
 
Mama weeew umelala Ali JoJo kweli wewe ......Apple inatengeneza vingi sema ni bei Sana.......Kwa mfano wewe najua umezoea TV ya Samsung na Sony na lg na nyingine baadhi.....lakini apple Pia Wana TV wanatengeneza sema ni bei ghali sana
Aisee acha utani apple an TV kama Sony na Samsung ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ