Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

Umemkosoa bure Tu jamaa hapo .......wew ndio marinda huna kabisa kama sio akili..........hiyo Huawei vifaa anauziwa na West kuna kitu kinaitwa chip inatoka marekani na Japan mchina bado ajui kutengeneza.....hiyo android system inatoka west .....hiyo Huawei ukiitoa android itakuwa na Sura gani kama sio game la watoto??...usiikosee adabu kabisa I phone maaana kampuni yake ndio yenye mtaji mkubwa kwenye kuwekeza kuliko kampuni yeyote Ile duniani Wanakalibia Dola trillion moja .....kaoge ulale sawa
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
 
View attachment 2229895
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.

Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA kama Twitter, fb, YouTube, Google, etc,etc. Kwa hiyo mchina hapo anatengeneza lihousing tu Hilo na asilimia kubwa ya hela inapelekwa Kwa hayo makampuni Kwa sababu anaingia nao mkataba na yeye anapata kidogo tu.

Ndiyo maana hayo makampuni ni tajiri na hao wenye hayo makampuni ndio wanaongoza Kwa utajili Duniani.

Msidanganyike Kwamba mchina anatengeneza SIMU. Ni uongo. Hizo Tecno return yake kubwa INAENDA USA.

Kwa hiyo watu wengi hawajui. Na SIMU ni hizo application programs, hardware ni Kwa sehemu tu.

Ujui kitu ,watengenezajinwa simu kazi yao moja tu kuuza device income yao ni kuuza device kwa wingi , application inapotumika kila siku hauwausu katika kuingiza kipato
Ungesema kama kuna hardware inatoka ulaya hapo ningekuelewa
Heti mchina anatengeneza kopo ya sijui upo level gani ya technology
 
Tuliosoma software engineering:
asilimia 98 ni software na asilimia 2 iliyobaki ni hardware kwenye vifaa vyote kuanzia kompyuta ,simu janja na n.k

software ndio ina tawala mifumo mingi na watengenezaji wakubwa wa software ni USA ndio maana leo kuna android ambayo imezalisha OS nyingi za andoid.ukija kwenye linux,microsoft,apple na n.k

ndio maana USA anatajilika kwa sababu ya leseni yake
 
Mleta mada unachanganya vitu hapo,Naona unataja apps badala ya OPs!
 
... nikukunbushe Tu Huawei alikuwa anaenda kuwatoa sumsung na iPhone na kuwa kinara WA simu zake kuuzwa sana duniani naonaa Marekani akatafuta sababu akaweka vikwazo ili kumshusha Ila Jambo la muda Tu atarudi chini uyoo mewenu
kwa kauli hiyo, ni kama vile unakubaliana na hoja ya mleta mada, ila labda unajipa matumaini kwamba ipo siku moja hayo yataisha
 
View attachment 2229895
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.

Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA kama Twitter, fb, YouTube, Google, etc,etc. Kwa hiyo mchina hapo anatengeneza lihousing tu Hilo na asilimia kubwa ya hela inapelekwa Kwa hayo makampuni Kwa sababu anaingia nao mkataba na yeye anapata kidogo tu.

Ndiyo maana hayo makampuni ni tajiri na hao wenye hayo makampuni ndio wanaongoza Kwa utajili Duniani.

Msidanganyike Kwamba mchina anatengeneza SIMU. Ni uongo. Hizo Tecno return yake kubwa INAENDA USA.

Kwa hiyo watu wengi hawajui. Na SIMU ni hizo application programs, hardware ni Kwa sehemu tu.
Bila shaka hujui chochote kuhusu software distributions na hardware manufacturing

Twitter, Facebook na zote ulizotaja hapo zinatolewa bure na license ya matumizi ni kati ya software providers end user (sio kampuni iliyotengeneza simu)

Wanachonunua ni operating system ya Android ambayo wananunua bulk license ambayo ni bei ndogo sana. (Taarifa za kina zipo www. android.com)

Hiyo OS ya android inatolewa bure kwa non commercial use

Mleta mada ana tatizo kichwani
 
View attachment 2229895
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.

Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA kama Twitter, fb, YouTube, Google, etc,etc. Kwa hiyo mchina hapo anatengeneza lihousing tu Hilo na asilimia kubwa ya hela inapelekwa Kwa hayo makampuni Kwa sababu anaingia nao mkataba na yeye anapata kidogo tu.

Ndiyo maana hayo makampuni ni tajiri na hao wenye hayo makampuni ndio wanaongoza Kwa utajili Duniani.

Msidanganyike Kwamba mchina anatengeneza SIMU. Ni uongo. Hizo Tecno return yake kubwa INAENDA USA.

Kwa hiyo watu wengi hawajui. Na SIMU ni hizo application programs, hardware ni Kwa sehemu tu.
Nonsense
 
Eti nao wachina wako mbioni kuwa na software zake. Wataunda simu na program zao. Toka watangaze ujio wa hizo bado hawajafanikiwa kuzisambaza. USA kiboko. Wanaona mbali sana. Hivi wanamzoom tu RussiA anavyojikanyaga kanyaga
 
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
Mama weeew umelala Ali JoJo kweli wewe ......Apple inatengeneza vingi sema ni bei Sana.......Kwa mfano wewe najua umezoea TV ya Samsung na Sony na lg na nyingine baadhi.....lakini apple Pia Wana TV wanatengeneza sema ni bei ghali sana
 
Umemkosoa bure Tu jamaa hapo .......wew ndio marinda huna kabisa kama sio akili..........hiyo Huawei vifaa anauziwa na West kuna kitu kinaitwa chip inatoka marekani na Japan mchina bado ajui kutengeneza.....hiyo android system inatoka west .....hiyo Huawei ukiitoa android itakuwa na Sura gani kama sio game la watoto??...usiikosee adabu kabisa I phone maaana kampuni yake ndio yenye mtaji mkubwa kwenye kuwekeza kuliko kampuni yeyote Ile duniani Wanakalibia Dola trillion moja .....kaoge ulale sawa
Huwawei haitumuii Android system 😁
 
Unaijua Huawei? Ziulize kampuni za mawasiliano kama Vodacom na Tigo vifaa vyao vingapi vimetengenezwa na Huawei kisha uje hapa kuandika. Apple anakupa simu na Computer Huawei anakupa full system.
Thamani ya Apple ni USD trillion 3 sawa na GDP ya uingereza...... Google najua utakaa Kwa kutulia
 
Eti nao wachina wako mbioni kuwa na software zake. Wataunda simu na program zao. Toka watangaze ujio wa hizo bado hawajafanikiwa kuzisambaza. USA kiboko. Wanaona mbali sana. Hivi wanamzoom tu RussiA anavyojikanyaga kanyaga
Unamfananishaje China na Russia wakati ni mbingu na ardhi😄
 
Ujui kitu ,watengenezajinwa simu kazi yao moja tu kuuza device income yao ni kuuza device kwa wingi , application inapotumika kila siku hauwausu katika kuingiza kipato
Ungesema kama kuna hardware inatoka ulaya hapo ningekuelewa
Heti mchina anatengeneza kopo ya sijui upo level gani ya technology
Mimi mwenyewe nashangaa 😁
 
M
Nani kakwambia haitumii android
Zee baba mbona unakuwa mbishi Huwawei walishabigwa ban kutumia android system saiz wanatumia system yao Ina os harmony imezinduliwa mwaka Jana June mpaka sasa Ina users 200million😄
 
Kazi kusifia vya wenzenu. Nyie vyenu viko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vinakuja mkuu 😆👇🐒
IMG_20220519_092002.jpg
 
Mama weeew umelala Ali JoJo kweli wewe ......Apple inatengeneza vingi sema ni bei Sana.......Kwa mfano wewe najua umezoea TV ya Samsung na Sony na lg na nyingine baadhi.....lakini apple Pia Wana TV wanatengeneza sema ni bei ghali sana
Aisee acha utani apple an TV kama Sony na Samsung ?
 
Back
Top Bottom