ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA.
Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA kama Twitter, fb, YouTube, Google, etc,etc. Kwa hiyo mchina hapo anatengeneza lihousing tu Hilo na asilimia kubwa ya hela inapelekwa Kwa hayo makampuni Kwa sababu anaingia nao mkataba na yeye anapata kidogo tu.
Ndiyo maana hayo makampuni ni tajiri na hao wenye hayo makampuni ndio wanaongoza Kwa utajili Duniani.
Msidanganyike Kwamba mchina anatengeneza SIMU. Ni uongo. Hizo Tecno return yake kubwa INAENDA USA.
Kwa hiyo watu wengi hawajui. Na SIMU ni hizo application programs, hardware ni Kwa sehemu tu.