Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Hii viita naiiiona kwa mbali sana,Kati ya Watoto wa Uswazi na Watoto wa Ushuwani kwenye sehemu za kula Bata, kila muwamba Ngoma huvutia kwake! Sisi wengine tumebaki kuwa watazamaji tu!!!
Ukijuq mitaa yote hupati shida. Kataja sehemu za kawaida ila kumbe ni based on music taste na quality djs
 
Hata hizi zingine ni za kawaida mno,
 
Hizo ulizozitenga hapo juu ndio wenye exposure huenda.. Lakini pia exposure ya uswazi ipo na test yake tofauti pia
 
Alafu kwenye hiyo list ya juu umesahau kidimbwi mkuu..
 
Sema tu wengi wetu hatuna hela..

Ila kwa sie wa mikoani.. tukija tutapashangaa sana
 
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring
Muziki ni kweli sehemu nyingi wazee kama sisi tunaboreka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…