Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

njoo 101 kahama uinjoy djzz...
 
Inategemea ntu na ntu .na mood yako binafsi Mimi siwezi kwenda sehemu yenye watu wengi km bar

NAPENDA hotel Kama vede pale kwa bakhressa
Niliposoma Comment nikasema huyu jamaa anamajigambo kama Wahaya kuja kwenye Id ni mule mule. Nyie ndugu zetu kwa mbwe mbwe hamna mpinzani. Hiyo Verde Hotel yenyewe unaishia kuiona kwa picha🀣
 
Alafu kwenye hiyo list ya juu umesahau kidimbwi mkuu..
Kidimbwi ni amapiano mwanzo mwisho. Atleast kule wana genre nyingi za house music sio amapiano zile zile kama sehemu nyengine
 
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring

Nenda na JBL yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…