Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

💯🤝 wachache watakuelewa
 
Watangazie biashara wenzio huku ukibaki unashangaa wanavyo tengeneza mkwanja.
 
Barra Beach
 
Kiukwel sehemu zipo chache kila mwenye bar na grocery anaamin kila mtu anapenda kelele na trend music kumbe sivyo.....mazingira pia huwa yanafanana hamna ubunifu wa kuvuta watu....binafsi mda mwingi napenda kuwa sehemu ya mzik tulivu ila nikiwa high niende sehem kama kwetu pazur..smart au tnt maana hapo tunakuwaga kama ng'ombe kwenye josho
 
Imagine Kila sehemu it's same same playlist. Kuanzia bongo flava,afrobeats na mapiano Yao,Ngoma zile zile.
 
Hakuna Cha ziada ,atleast wanaleta ma DJ wanaojua na kuwa na taste mbalimbali ya mziki. Imagine unakaa sehemu masaa matano na nyimbo zote ni amapiano, diamond, harmonize na marioo. It's boring
MaDj wa bongo miyeyusho sana aisee hivi hata EDM hawazijui ni hadi niende wavuvi camp ndo nazikutaga almost always. Hata kugoogle tu wajue ngoma kali za billboard wakamix kidogo hawajui. Kila sehemu wanapiga nyimbo zinafanana ni bahati sana ukute Dj anajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…