Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

Club za huku mitaani hata ule kitimoto kilo 2 na bia ukifika kwako kulala ni kama hujala
Mziki mkubwa unatumia nguvu nyingi kuongea ukifika mbavu zinauma na njaa kali
 
Yeah! nishawahi kwenda Kwa sababu ya aina flani ya muziki wanayopiga siku Ile. Mostly weekdays,kupitia Instagram Yao hua wanasema atakua Dj nani Leo na session yake. Atleast unakuja unajua kitu utachokutana nacho.
You love your music.
 
Huwezi kulisha Simba majani, hata awe na njaa vipi, elewa hilo
 
Hata mimi huwa nashangaa sana, Kuna sehemu za starehe huwa zinapewa promo kubwa lakini DJs wako outdated sana, playlists zao zinafanana sana, hawana exposure huu ndio ukweli na mara nyingine unaweza kwenda na muda mwingi unakaa tu au unaamua kuondoka
 
Ma DJs hapo kweli wengi ni new generation... Wanapiga New Hits & Tranding Songs za bongo, Amapiano music na Nigerian hits basi.... ma DJ wengi hawana uelewa mpana na muziki wa zamani au either hawana kabisa hizo nyimbo kwenye drive storages zao si watu wa kufatilia muziki kabisa ila wanaenda na upepo wa mkumbo, wengi wao hawana passion na fani yenyewe wanafanya tu basi kama sehemu ya kujiingizia kipato but out of their interests kutoka moyoni za fani yenyewe..
 
Word.
 
Dj's wengi wa sasahivi wana fanana aina ya Play list wanazo piga..

Note..Mameneja pia wana changia kuajiri DJ asiye toshereza kwenye kutoa burudani..
Let's say mimi ni DJ alafu anakuja DJ mwingine ananiomba External yangu kwenda kufanyia kazi sehemu utegemee atapiga nyimbo gani? Mostly ata search zile anazozijua tu kichwani mwake na zinazopatikana kwenye drive ndo ana load na kupiga.... Au anakuja ku copy mzigo wote kwangu ye hana hata nyimbo zake za tofauti utegemee nyimbo atakazo kua anapiga zina utofauti? Jibu ni uzembe wa DJ mwenyewe kutokua mbunifu na mwenye kujituma na si meneja mimi navyoona mbaya zaidi unakuta meneja nae kijana hajui nyimbo...

Sema mimi siwapagi kabisa hata External yangu hawa vijana ku copy muziki wengi wao wazembe kujituma na nina muziki ambao hata wengine hawana na huwa nikipiga kwa media/radio mpaka meneja ananiuliza "hizo nyimbo siku tegemea kama unazo na huenda ni wewe pekee ndo umewahi piga hizi nyimbo hapa radio toka ma DJ wengine wapite" so imagine meneja anakwambia hivo lazmia uongeze juhudi katika kazi na kua mbunifu zaidi wa kipekee..

Nashukuru Mungu mimi hii ni passion yangu kabisa na nilienda chuo/DJ Academy kuisomea kuongeza maarifa zaidi mbali na kua na taaluma nyingine niliyosomea, so huwa naifanya kwa kuifurahia na napenda muziki hasa wa zamani na napenda ma DJs wa zamani waliotutangulia kwa hii fani...
 
Mkuu unaenda wavuvi camp kufuata muziki?
Na vingine kiasi ila kwangu burudani kubwa sehem kama hizo huwa ni DJ mixing/playlist,huwa nikikuta DJ mkali naweza nisichomoke. Kuna siku ilikua week day pale wavuvi camp mida ya jioni tu DJ mkongwe Peter Moe alikua anapiga flash back zilikua tam sana,badae akamuachia dogo mmoja hivi basi yule dogo akaja na code zake za kitaa DJ Peter Moe akamfuata akamnong'eza kitu dogo akarudi kwenye track. Asikwambie mtu DJ Peter Moe anajua sana japo umri umekimbia
 
Njoo uswazi tiptop barz benny ,ukutane na singeli ila tptob bar kiwanja bomba sana
 
Karibu hapa corner lounge karibu na shule ya makuburi jeshini,hukuti nyimbo za hawa wabana pua kirahisi yaani unakunywa serengeti liteπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unaskiliza muziki ambao hata hujui spika zilipo
Bar ya mtaani kwetu πŸ˜‚πŸ˜‚ wapige kelele wakati pale ni njia panda ya segerea
 
anyway leo nilikua zangu Bar flani ukonga/Banana wameweka zao nyimbo ya kikurya watu wanacheza hatari aisee nmeenjoy sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna vitu ukiwa Maison hutavikuta kamwe
[emoji23][emoji23][emoji23] safi sana..
 
anyway leo nilikua zangu Bar flani ukonga/Banana wameweka zao nyimbo ya kikurya watu wanacheza hatari aisee nmeenjoy sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna vitu ukiwa Maison hutavikuta kamwe
Yaah kikubwa upate burudani... it's good kama umeenjoy,mi pia kuna miziki huwezi kuta naiskiliza ila nikiona watu wanacheza naenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…