cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwa kweli, 😂😂😂😂Saiv Jf imekaa vibaya haina ata mashiko😅
Kwa kweli, 😂😂😂😂Saiv Jf imekaa vibaya haina ata mashiko😅
Wanawake wana nguvu sana brother, ndiomaana wanatumika sana kuwaangusha wanaume wanaojiona wababe.Mwanamke akikuamlia hutakuja kusema haya! Unajisifia now kwa vile hajataka kushindana nawe, wanawake ni viumbe hatari kuliko tunavyofikilia.