Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

QmmmmmmmmmQe ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Kuna dhehebu la dini kama sikosei ni Orthodox hata hiyo nafasi ya mwanamke kukaa juu wakati wa sex hapewi.
 
Watu wengi wamemelewa kwenye mazingira yanayompa mwanaume nafasi ya juu, hivyo kwa mawazo yako ni kawaida!

Kuamini mwanaume kuwa kiongozi haimaanishi anamchukia mwanamke, inawezekana ni mtazamo wa majukumu tu ndani ya familia

Na siyo lazima kila mtu awe feminist. Ni muhimu kuheshimiana hata kama tunatofautiana! Feminism inazungumzia usawa, haki na si kupindua nafasi za wanaume!
Dogo wasipokuelewa tena basi!
 
Unamruhusu vipi mwanamke kukaa juu katika sex?

Wewe hujui kuwa ukimuacha mwanamke akae juu katika sex, wewe ndiye unafanywa hapo, na hivyo wewe ndiye unakuwa mwanamke?
Acha zako mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari wana JF,

Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia.
Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali ni kubeba dhamana, kuwajibika, na kuwa nguzo ya maamuzi.
Ninapo sema โ€œSiwezi kuruhusu mwanamke awe juu yangu,โ€ namaanisha katika muktadha wa mamlaka na mwelekeo wa maisha. Familia au mahusiano yanahitaji mtu wa mwisho kubeba maamuzi mazito na athari zake. Kwa mtazamo wangu, jukumu hilo linapaswa kuwa la mwanaume.

Mwanamke ana nafasi yake ya heshima na thamani kubwa sana:

โ€ขNi mlezi
โ€ขNi mshauri
โ€ขNi mjenzi wa utulivu wa familia
โ€ขNi nguzo ya hisia na maadili

Lakini heshima haimaanishi ushindani wa nani yuko juu ya nani. Kuna mgawanyo wa majukumu. Kama ilivyo katika taasisi yoyote - lazima kuwe na kiongozi mmoja wa mwisho.
Katika jamii ya leo tunaona mkanganyiko mkubwa wa majukumu. Wakati mwingine wanaume wanakwepa majukumu yao ya uongozi, halafu wanapolalamika kuwa wanawake โ€œwanawazidi,โ€ kumbe wao wenyewe wameacha nafasi zao wazi.

Msimamo wangu ni huu:

โ€ขMwanamke aheshimiwe.
โ€ขMwanamke asikilizwe.
โ€ขMwanamke ashauriane na mwanaume.

Lakini mwisho wa maamuzi, mwanaume achukue wajibu kamili.
Na kuhusu suala la faragha, hapo ndipo pekee ninapoona usawa wa kimwili ukijidhihirisha kwa namna ya makubaliano ya pande zote - si mamlaka, bali muunganiko.
Nasisitiza tena, hii si vita ya jinsia. Ni mjadala wa majukumu na uongozi. Mwanaume wa kweli si yule anayepiga kelele kuwa yeye ni juu - bali ni yule anayebeba mzigo bila kulalamika.

Asanteni
Naunga mkono hoja yako๐Ÿ˜…
 
Usikute huko ndani jamaa anapelekeshwa balaa. Ukikuta mtu anapambana sana kupinga jambo hata bila provocation yo yote basi jua kuwa hiyo mara nyingi ni kujihami tu ila ni mwathirika wa hilo jambo. Ndo maana, kwa mfano, ukikuta mtu from nowhere tu anaingiza mambo ya ushoga huku akipinga basi jua kuwa huyo mtu kuna mushkeli mahali na yuko kwenye denial stage. Hata cocastic analijua hili ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sema weweee!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ila Maisha ya Wabongo, ni full heka heka. Lol
 
Aaah wap kwangu misingi na kanuni zinafuatwa
Wala sijapinga, afu ujue nini tatizo wabongo wengi bado hawajajua kuhusu Feminism.
Wakikaa wakajua bas, hakuna tatizo.
 
Wala sijapinga, afu ujue nini tatizo wabongo wengi bado hawajajua kuhusu Feminism.
Wakikaa wakajua bas, hakuna tatizo.
Unaweza ukatoa elimu kidogo, wewe unaielewaje Ferminism?
 
Back
Top Bottom