Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

Huo ni upungufu wa nguvu za kiume, mwanamke anakukaliaje juu! Mwanamke apigwe dog, kibapabapa au panda dilishani uiangukie, mimi bora aniendeshe kichwa na siyo anikalie kichwa.
 
Namshukuru MUNGU, baba yangu na mama yangu wametimiza miaka 60 ya ndoa yao, wanaishi pamoja hadi sasa, wanafurahi.

-lakini baba aliwahi kuniambia mambo haya siku chache baada ya kuoa, kama siku tatu ya ndoa

1. mwanangu usishindane na mwanamke hata siku moja bali mrekebishe kwa kumshauri

2. vumilia upumbavu wa mkeo, naye atavumilia ujinga wako

3. usije mfokea mkeo mbele ya watoto wako au mbele ya watu wengine.

4. usijikite kutafuta mabaya yake, jikite kutafuta mazuri yake.

5. mkijaliwa kupata watoto jitahidi kuacha matumizi mbele ya watoto wako

6. usije muita mkeo malaya au mwanamke yeyote maana hujui historia ya mamako kabla ya kuzaliwa kwako.

7. hakuna siku utajua mke anataka nini na hataki nini

8. kufanya tendo la ndoa siyo chanzo pekee cha kumfanya akae kwako, bali kuheshimiana

9. epuka makelele yasiyo kuwa na maana wakati wa uhai wenu

10. usipende kumpongeza sana mkeo.
Hizo zote siyo hoja,kwenye ndoa issu ni moja ni either moja awe bosi au mbabe na mwingine awe mjinga lasivyo hakuna ndoa-hata kwenye issue zingine ambapo kila mtu ana boss.
Hivyo,basi kwenye familia yenu ni wazi Baba yenu aliamua kujishusha na ku surrender na kumuacha Mama awe ndio mwamuzi a.k.a boss
 
sio mwanamke ungesema mke wako mkuu,, maana kusema mwanamke japo sikufahamu najua lazima kuna wanawake wapo juu yako kielimu, wapo wanawake wapo juu yako kiuchumi, wapo wanawake ambao pia wako juu yako kiakili, kiuongozi n.k ,, so naona nimuhimu kuwa specific kuwa hutaruhusu mke wako awe juu yako
Uzi ufungwe. Kudos
 
Hizo zote siyo hoja,kwenye ndoa issu ni moja ni either moja awe bosi au mbabe na mwingine awe mjinga lasivyo hakuna ndoa-hata kwenye issue zingine ambapo kila mtu ana boss.
Hivyo,basi kwenye familia yenu ni wazi Baba yenu aliamua kujishusha na ku surrender na kumuacha Mama awe ndio mwamuzi a.k.a boss
Ukisoma namba 2 utanielewa

Baba yangu ni habari nyingine, sikuwahi kuona anatawaliwa..

Na hayo aliniusia mimi maana alijua nimeoa na si danga
 
Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na Usiaminike.
 
Usikute huko ndani jamaa anapelekeshwa balaa. Ukikuta mtu anapambana sana kupinga jambo hata bila provocation yo yote basi jua kuwa hiyo mara nyingi ni kujihami tu ila ni mwathirika wa hilo jambo. Ndo maana, kwa mfano, ukikuta mtu from nowhere tu anaingiza mambo ya ushoga huku akipinga basi jua kuwa huyo mtu kuna mushkeli mahali na yuko kwenye denial stage. Hata cocastic analijua hili 😂😂😂
Kweli kabisa!!
 
Back
Top Bottom