Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

Sema mke wako, hii iwe personal zaidi kuliko generalisation!

Kuna wanawake watakuzidi kila kitu kuanzia uwezo wa kufikiri, uchumi, mali nk.
Kasahau huwaga mnaipigia magoti kila mkitaka kuidandia, ndo maana maisha ya mwanaume tangu kuzaliwa hadi kufa ni mwanamke,

Anazaliwa na mwanamke
Analelewa na mwanamke
Akikua kwenye ujana muda mwingi anakimbizana na mwanamke, akichoka anajifia anafuata mwingine......
 
Kwa jamii ya sasa, mwezeshe binti yako aje kuwa mwanamke mwenye akili, nguvu ya kiuchumi na awe na maadili ya kutambua nafasi ya mwanaume kwenye familia.

Hatujafika hapa kwa bahati mbaya, kuna sababu ni kwanini mwanamke aliamua kupigania haki sawa badala ya kufurahia haki ya kutunzwa na mwanamume.

Nadhani wanawake wengi wanapenda shughuli za nyumbani, kutunzwa na mume na siyo kufanya kazi ngumu za kiuchumi ila kuna jambo limesababisha tuwe hapa tulipo.
Sio kweli
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kasahau huwaga mnaipigia magoti kila mkitaka kuidandia, ndo maana maisha ya mwanaume tangu kuzaliwa hadi kufa ni mwanamke,

Anazaliwa na mwanamke
Analelewa na mwanamke
Akikua kwenye ujana muda mwingi anakimbizana na mwanamke, akichoka anajifia anafuata mwingine......
Sio kweli sio wote wanazaliwa na mwanamke wengine wanazaliwa na mashine zimeshaanza kufanya kazi ni maabara tu zinachanganywa mbegu tayari hivyo yaan msijipe umuhimu sana sayansi inaenda kubadirisha yote hayo
 
Nakupinga hapo, kwenye cycle ya mwanaume mwenye akili timamu mwanamke haja tawala.
 
Watu wengi wamemelewa kwenye mazingira yanayompa mwanaume nafasi ya juu, hivyo kwa mawazo yako ni kawaida!

Kuamini mwanaume kuwa kiongozi haimaanishi anamchukia mwanamke, inawezekana ni mtazamo wa majukumu tu ndani ya familia

Na siyo lazima kila mtu awe feminist. Ni muhimu kuheshimiana hata kama tunatofautiana! Feminism inazungumzia usawa, haki na si kupindua nafasi za wanaume!
Feminist ni kutaka Mwanamke awe juu ya Mwanaume na hio ni kwa mujibu wa Chimamanda Ngozi Adchie role model wa Feminist wote unaowajua, Flawless
 
Kasahau huwaga mnaipigia magoti kila mkitaka kuidandia, ndo maana maisha ya mwanaume tangu kuzaliwa hadi kufa ni mwanamke,

Anazaliwa na mwanamke
Analelewa na mwanamke
Akikua kwenye ujana muda mwingi anakimbizana na mwanamke, akichoka anajifia anafuata mwingine......
Mwanaume ukiruhusu maisha yako yazunguke kupitia mwanamke ni umekwisha.
 
Sio kweli sio wote wanazaliwa na mwanamke wengine wanazaliwa na mashine zimeshaanza kufanya kazi ni maabara tu zinachanganywa mbegu tayari hivyo yaan msijipe umuhimu sana sayansi inaenda kubadirisha yote hayo
😀😀😀hayo mabolizozo?? Kama nyanya masalo huo umuhimu mnatupa nyie
 
Feminist ni kutaka Mwanamke awe juu ya Mwanaume na hio ni kwa mujibu wa Chimamanda Ngozi Adchie role model wa Feminist wote unaowajua, Flawless
Duhh huyo kaiterm vibaya feminism haiko hivyo!
 
Habari wana JF,

Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia.
Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali ni kubeba dhamana, kuwajibika, na kuwa nguzo ya maamuzi.
Ninapo sema “Siwezi kuruhusu mwanamke awe juu yangu,” namaanisha katika muktadha wa mamlaka na mwelekeo wa maisha. Familia au mahusiano yanahitaji mtu wa mwisho kubeba maamuzi mazito na athari zake. Kwa mtazamo wangu, jukumu hilo linapaswa kuwa la mwanaume.

Mwanamke ana nafasi yake ya heshima na thamani kubwa sana:

•Ni mlezi
•Ni mshauri
•Ni mjenzi wa utulivu wa familia
•Ni nguzo ya hisia na maadili

Lakini heshima haimaanishi ushindani wa nani yuko juu ya nani. Kuna mgawanyo wa majukumu. Kama ilivyo katika taasisi yoyote - lazima kuwe na kiongozi mmoja wa mwisho.
Katika jamii ya leo tunaona mkanganyiko mkubwa wa majukumu. Wakati mwingine wanaume wanakwepa majukumu yao ya uongozi, halafu wanapolalamika kuwa wanawake “wanawazidi,” kumbe wao wenyewe wameacha nafasi zao wazi.

Msimamo wangu ni huu:

•Mwanamke aheshimiwe.
•Mwanamke asikilizwe.
•Mwanamke ashauriane na mwanaume.

Lakini mwisho wa maamuzi, mwanaume achukue wajibu kamili.
Na kuhusu suala la faragha, hapo ndipo pekee ninapoona usawa wa kimwili ukijidhihirisha kwa namna ya makubaliano ya pande zote - si mamlaka, bali muunganiko.
Nasisitiza tena, hii si vita ya jinsia. Ni mjadala wa majukumu na uongozi. Mwanaume wa kweli si yule anayepiga kelele kuwa yeye ni juu - bali ni yule anayebeba mzigo bila kulalamika.

Asanteni
Unamruhusu vipi mwanamke kukaa juu katika sex?

Wewe hujui kuwa ukimuacha mwanamke akae juu katika sex, wewe ndiye unafanywa hapo, na hivyo wewe ndiye unakuwa mwanamke?
 
Back
Top Bottom