Kabisa mkuu, usipo mrithisha misuli ya fikra akafikiri kwa usahihi atazalishwa na walamba lips wa kinondoni na mbezi halafu afanye kazi ya kutunza watoto na baba zao.Mimi binti yangu namlea kwa misingi ya kiume , dunia ya sasa binti akiwa kike kike ataonewa na hawa wavulana vilaza
Akikuzidi vingine vyote haina noma ila ukipigwa gap kwenye uchumi hata awe mnyenyekevu kwako kuna namna hautakua huru kama mwanaume.Kuna wanawake watakuzidi kila kitu kuanzia uwezo wa kufikiri, uchumi, mali nk.
Ni kweli upo sahihi , ila kuna wakati mtazamno kama huu unaweza kuumiza sana hali ikienda tofauti.Family level mkuu, huko umeenda mbali sana
Yani akikuzidi uchumi ni bora kumwacha tu , kisaikolojia inaleta shida kwa silka yetu ya kiumeAkikuzidi vingine vyote haina noma ila ukipigwa gap kwenye uchumi hata awe mnyenyekevu kwako kuna namna hautakua huru kama mwanaume.
Imagine sasa umeoa mke, wakati mnaoana ulikuwa above her kila kitu hadi huo uchumi. Mungu sio min-me kwamba ambanie mkeo, mara paap anapaishwa kiuchumi, watoto ndio hao tayari.Yani akikuzidi uchumi ni bora kumwacha tu , kisaikolojia inaleta shida kwa silka yetu ya kiume
Sio kwamba utamwacha tu , hata yeye hata taka tena kuwa na wewe tena , hiyo ni saikolojia tu , hata wewe hautajisikia huru kuwa nae tena labda uwe na ka damu ka umario bwasheeImagine sasa umeoa mke, wakati mnaoana ulikuwa above her kila kitu hadi huo uchumi. Mungu sio min-me kwamba ambanie mkeo, mara paap anapaishwa kiuchumi, watoto ndio hao tayari.
Je, utamuacha kwa kugezo hicho tu hata kama hakuna chochote anachokosea kama mke na mama?
Na ndio maana ya kulombana bwasheeMwanamke akikaa juu wakati wa sex maana yake anakua anakulomba... Kwa kifupi unalombwa na mke wako
Umeshalewa mkuu😂😂Mwanamke akikaa juu wakati wa sex maana yake anakua anakulomba... Kwa kifupi unalombwa na mke wako
Kumpongeza ni vibaya?kwannNamshukuru MUNGU, baba yangu na mama yangu wametimiza miaka 60 ya ndoa yao, wanaishi pamoja hadi sasa, wanafurahi.
-lakini baba aliwahi kuniambia mambo haya siku chache baada ya kuoa, kama siku tatu ya ndoa
1. mwanangu usishindane na mwanamke hata siku moja bali mrekebishe kwa kumshauri
2. vumilia upumbavu wa mkeo, naye atavumilia ujinga wako
3. usije mfokea mkeo mbele ya watoto wako au mbele ya watu wengine.
4. usijikite kutafuta mabaya yake, jikite kutafuta mazuri yake.
5. mkijaliwa kupata watoto jitahidi kuacha matumizi mbele ya watoto wako
6. usije muita mkeo malaya au mwanamke yeyote maana hujui historia ya mamako kabla ya kuzaliwa kwako.
7. hakuna siku utajua mke anataka nini na hataki nini
8. kufanya tendo la ndoa siyo chanzo pekee cha kumfanya akae kwako, bali kuheshimiana
9. epuka makelele yasiyo kuwa na maana wakati wa uhai wenu
10. usipende kumpongeza sana mkeo.
Kwa hiyo ndoa za hivyo mara nyingi hazidumu?Sio kwamba utamwacha tu , hata yeye hata taka tena kuwa na wewe tena , hiyo ni saikolojia tu , hata wewe hautajisikia huru kuwa nae tena labda uwe na ka damu ka umario bwashee
Louder please!Kwa jamii ya sasa, mwezeshe binti yako aje kuwa mwanamke mwenye akili, nguvu ya kiuchumi na awe na maadili ya kutambua nafasi ya mwanaume kwenye familia.
Hatujafika hapa kwa bahati mbaya, kuna sababu ni kwanini mwanamke aliamua kupigania haki sawa badala ya kufurahia haki ya kutunzwa na mwanamume.
Nadhani wanawake wengi wanapenda shughuli za nyumbani, kutunzwa na mume na siyo kufanya kazi ngumu za kiuchumi ila kuna jambo limesababisha tuwe hapa tulipo.
Uzi ufungweRaisi wake mwenyewe yupo juu yake
Alisema usimpongeze sana (yaani kupita kiasi)Kumpongeza ni vibaya?kwann
Sijui wapi haelewiRaisi wake mwenyewe yupo juu yake
Mimi nilikuwa nawakong’ota mno! Sipendi ujinga mpaka kesho!Mimi binti yangu namlea kwa misingi ya kiume , dunia ya sasa binti akiwa kike kike ataonewa na hawa wavulana vilaza