Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?

Hii imekaa vizuri sana, kuwa na support system ni muhimu na ushauri wa kisaikolojia ukizidiwa ni lazima.

Asante kwa reply yako Southern Highland
 
Kufanya mazoezi nayo ni namna mojawapo ya kurelease.

Mshauri hata akiwa mwanamke siyo shida, pale yupo kazini kwa kitu alichokisomea au kupata taaluma nacho so ana uwezo wa kukusaidia pia.
 
N kutafuta bar zilizo na amsha amsha na kuinjoi na totoz kali
 
Sijafikia hatua hiyo, ila kuna wana mna share vitu vingi si mbaya kuongea nae, na kama vipi muhusishe mdingi wako, ama viongozi wa kidini.
Viongozi wa dini, usikute ba wenyewe wana changamoto! 😄 just kidding..
 

Mwanaume anatakiwa apitie changamoto zote, Halafu ajue yupo mwenyewe, no one will save his S, then atakuwa amepevuka!
 
Mpe soln mkuu ..je kama ni single mama haishi na mume
 
hayo mambo yote huwa tunaongea na father na kwenye vikao vyetu, labda kama kikao cha mwisho hawakuhudhuria 😎
Sio wote wana hao mababa ambao wanaweza kuongea nao au kufunguka kwao. Wanaume wa namna hiyo wafanyaje sasa?
 
Na nyie ambao ni majike dume usalama wenu upo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…