Aiseee sio poa kabisa hiiMkuu ushakula za kichwa, hapo maana yake Mwenza wako anagegedwa sehemu.
π
ππππKuna watu humu makalio yanawacheza, embu tujuze maana yake nini?
Aaaaah qbbk we kweli hupendi ujingaaaπππππ πImani za kfikirika ukiziendekeza sana sio nzuri hata kidogo, juzikati hapa kuna mdada alinambia nimuandikie milioni mkononi kwani mkono wake unamuwasha, hivyo huenda akapata pesa/hela karibuni hivi. Bila kupoteza muda nikamwambia siku akijiskia tako linamuwasha anishtue pia!! Mimi si mkorofi lakini sometimes sipendi ujinga!!
Sijui niliwahi kuambiwa na pisi leo sikupi kwasababu simba wanacheza, sikumuelewa.