Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Ndio mtoa mada anataka kujua huo mfumo au mifumo ktk mwili

Labda jicho kucheza basi mwanga umezidi ktk jicho hivyo jicho linapambana

Ngozi kucheza kama ng‘ombe anavyochezesha basi ni kuna infection ktk ngozi na hio infection inasababishwa na...
Wataalamu wa afya watatusaidia kupata majibu sahihi
 
Habari

Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.

Je yote haya yanaashiria nini sana sana wakuu Kwa wenye uelewa na elimu ya. Ki nafsi ?
🔹

🔹 Hilo ni tatizo la mzunguko mbaya wa damu mwilini

🔹 Sehemu zinazocheza damu ya kutosha haifiki na kufanya misuli ya sehemu hiyo kutikisika

🔹Ukitaka kutibitisha ngombe au mbuzi akichinjwa na damu ikishaisha unaona nyama zinacheza cheza yenyewe. Huu ni utibitisho kuwa sehemu hizo zinazocheza damu ama imepungua au haipo

🔹Achana na utopolo wa waswahili kuwa atakuja Mgeni au kupata fedha nenda hospitali kapime cardiovascular system , nerves na mishipa ya damu kwa ujumla
 
Ng‘ombe, Nyati nk wakiwa na afya tele wanaweza chezesha ngozi zao

Je, wakitaka kuchezesha ngozi zao huwa wana hakikisha damu haipo ktk eneo ambalo wanataka kuchezesha Hiyo ngozi?
 
Mwili wa binadamu una mifumo ifuatayo:-
  • Mfumo wa chakula
  • Mfumo wa upumuaji
  • Mfumo wa damu
  • Mfumo wa fahamu
  • Mfumo wa uzazi
  • Mfumo wa mifupa
  • Mfumo wa mkojo
  • Mfumo wa misuli
  • Mfumo wa kinga
Ipatapo itilafu kidogo tu, ndio ishara mbalimbali hutokea zinazohusu huo mwili na si vitu vya nje ya mwili.
Mkuu wewe unaelezea baiolojia lakin sisi tunataka necha
 
Mfano, ukiwa unatoa hewa chafu, tumbo si linakuwa limejaa gesi kwa kuvimbiwa? Hivyo hivyo na viungo vingine vikicheza​
Sasa apo ni kuongelea necha mkuu binafsi kama kuna msiba jicho tajwa apo juu huwa linacheza na kama kuna hatar la kulia hucheza kuhusu mikono kuwasha ni kweli pia
 
Ndugu yangu hakuna cha nini wala nini. Huo ni mfumo wa mwili wako
Mimi vidole vya mkono wa kushoto vikiwasha,hiyo ni hela ipo njiani tena karibu,mwanzo nilikua nabisha,ila trend ikazidi,ukiwasha wa kulia napoteza hela/dili,yaani hadi nashangaa
 
Back
Top Bottom