Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wataalamu wa afya watatusaidia kupata majibu sahihiNdio mtoa mada anataka kujua huo mfumo au mifumo ktk mwili
Labda jicho kucheza basi mwanga umezidi ktk jicho hivyo jicho linapambana
Ngozi kucheza kama ng‘ombe anavyochezesha basi ni kuna infection ktk ngozi na hio infection inasababishwa na...