Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari

Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.

Je yote haya yanaashiria nini sana sana wakuu Kwa wenye uelewa na elimu ya. Ki nafsi ?
 
𝙼𝚔𝚞𝚞 𝚊𝚖𝚊𝚙𝚒𝚊𝚗𝚘 𝚜𝚒𝚔𝚞𝚑𝚒𝚣𝚒 𝚒𝚗𝚊𝚋𝚒𝚝𝚒 𝚔𝚊𝚕𝚒 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚊𝚊𝚗𝚊 𝚒𝚗𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚖𝚙𝚊𝚔𝚊 𝚟𝚒𝚞𝚗𝚐𝚘 𝚟𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚟𝚢𝚊 𝚖𝚠𝚒𝚕𝚒 𝚟𝚒𝚗𝚊𝚌𝚑𝚎𝚣𝚊
 
Imani za kfikirika ukiziendekeza sana sio nzuri hata kidogo, juzikati hapa kuna mdada alinambia nimuandikie milioni mkononi kwani mkono wake unamuwasha, hivyo huenda akapata pesa/hela karibuni hivi. Bila kupoteza muda nikamwambia siku akijiskia tako linamuwasha anishtue pia!! Mimi si mkorofi lakini sometimes sipendi ujinga!!
 
Aa

Aaaaah qbbk we kweli hupendi ujingaaa😂😂🙌🙌🏃 🏃
 
Back
Top Bottom