Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wataalamu wa afya watatusaidia kupata majibu sahihiNdio mtoa mada anataka kujua huo mfumo au mifumo ktk mwili
Labda jicho kucheza basi mwanga umezidi ktk jicho hivyo jicho linapambana
Ngozi kucheza kama ng‘ombe anavyochezesha basi ni kuna infection ktk ngozi na hio infection inasababishwa na...
Kaka nataka papuchi iliyo nonaKunywa maji ya baridi
🔹Habari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana wakuu Kwa wenye uelewa na elimu ya. Ki nafsi ?
🔹 Hilo ni tatizo la mzunguko mbaya wa damu mwiliniHabari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana wakuu Kwa wenye uelewa na elimu ya. Ki nafsi ?
Hahaha! Za mwanza au mbeyaKaka nataka papuchi iliyo nona
Nmekusoma mkuuYupo blidi
Ng‘ombe, Nyati nk wakiwa na afya tele wanaweza chezesha ngozi zao🔹
🔹 Hilo ni tatizo la mzunguko mbaya wa damu mwilini
🔹 Sehemu zinazocheza damu ya kutosha haifiki na kufanya misuli ya sehemu hiyo kutikisika
🔹Ukitaka kutibitisha ngombe au mbuzi akichinjwa na damu ikishaisha unaona nyama zinacheza cheza yenyewe. Huu ni utibitisho kuwa sehemu hizo zinazocheza damu ama imepungua au haipo
🔹Achana na utopolo wa waswahili kuwa atakuja Mgeni au kupata fedha nenda hospitali kapime cardiovascular system , nerves na mishipa ya damu kwa ujumla
Mkuu wewe unaelezea baiolojia lakin sisi tunataka nechaMwili wa binadamu una mifumo ifuatayo:-
Ipatapo itilafu kidogo tu, ndio ishara mbalimbali hutokea zinazohusu huo mwili na si vitu vya nje ya mwili.
- Mfumo wa chakula
- Mfumo wa upumuaji
- Mfumo wa damu
- Mfumo wa fahamu
- Mfumo wa uzazi
- Mfumo wa mifupa
- Mfumo wa mkojo
- Mfumo wa misuli
- Mfumo wa kinga
Mkuu wewe unaelezea baiolojia lakin sisi tunataka necha
Sasa apo ni kuongelea necha mkuu binafsi kama kuna msiba jicho tajwa apo juu huwa linacheza na kama kuna hatar la kulia hucheza kuhusu mikono kuwasha ni kweli piaMfano, ukiwa unatoa hewa chafu, tumbo si linakuwa limejaa gesi kwa kuvimbiwa? Hivyo hivyo na viungo vingine vikicheza
Hahahaha... unataka kusemaje wewe😂😂
Half american hajui mkisema simba anacheza mnamaana ganiHa
Hahahaha... unataka kusemaje wewe😂😂
Mwambie hedhi...na tukitoka hedhi tunakuwaga na ham za ukuni balaa..Half american hajui mkisema simba anacheza mnamaana gani
KumbeMwambie hedhi...na tukitoka hedhi tunakuwaga na ham za ukuni balaa..
Ameshaiona mwenyewe au sio Half americanMwambie hedhi...na tukitoka hedhi tunakuwaga na ham za ukuni balaa..
Ina ashiria una mafua mkuu.Mfano pua ikicheza Ina ashiria nini mostly katika maisha ya KILA siku mkuu ??
Yeah pia kabla ya Simba kucheza tunakuwaga na ham ya miti pia...Kumbe
Ndio najua leoYeah pia kabla ya Simba kucheza tunakuwaga na ham ya miti pia...
Ndio najua leo
Kweli kabisa.Elimu Haina mwisho..
Mimi vidole vya mkono wa kushoto vikiwasha,hiyo ni hela ipo njiani tena karibu,mwanzo nilikua nabisha,ila trend ikazidi,ukiwasha wa kulia napoteza hela/dili,yaani hadi nashangaaNdugu yangu hakuna cha nini wala nini. Huo ni mfumo wa mwili wako