GE2025 Sekeseke lililotokea wakati wa kuchukua Fomu ya Ubunge katika Jimbo la Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi hata ungekuwa ww ndo Mbunge hakuna Ambacho ungebadilisha kwakuwa mifumo alioacha Nyerere haijawahi kubadilishwa Ila inaendelezwa.
Sasa wewe umempimaje kujua amewazidi CCM wengi akili?!
 
wakunda hea; 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hoja ya ukabila Tanzania ni hoja ya kichovu kabisaaaaaa. Umeongea upuuuzi mtupu hapa
 
Jamaa kuwajibu vema kabisa, kawaambia kachukueni form.
 
Kwani hali ya kwingine ikoje? Nadhani haujawatendea haki wagosi wa kaya ...
 
Mpigania uhuru wa pili tia neno hapa😅
 
Ingawa hi ya kusema eti January sio mtoto wa mzee Yusuf Makamba I'm sure ni uongo, hata kama hatumpendi mzee Makamba na uzao but this is too big to believe, mtazame sura vizuri mzee Yufuf Rajabu Makamba na January, mbona wana fanana? Tofauti tu, January ni mrefu while baba mfupi; that much is not strange, kafata ujombani, hilo lina shida gani?
 
Hii Agenda ya kumtoa nyoka pangoni, J Makamba ukimya wako sasa unatosha ingia dimbani media zikuone.

Nafasi ya u PM haiji kwa bahati mbaya vita imeanza maana kwa ubunge anachukua kabla ya breakfast kuisha.
Ww ni mkazi wa bumbuli?
 
Imagine wanamfanyia fujo kijana mwenzao wa CCM mbele ya camera.

Binafsi nakataa January anaweza tuma watu kufanya upuuzi huo kwa niaba yake.

January lijizi ndio, poyoyo ndio na mengine mengi tu ya hovyo; lakini siasa za fujo kwa watu anaowamudu hilo hapana.

Tanzania ogopa na kuwa makini na wapambe, kuliko tajiri; yaani wapambe uwa ni wapuuzi sana.
 
BIOGRAPHY yake haijakaa sawa mpaka tujue

1. Jina alilozaliwa nalo kabla ya mamaake kukutana na Yusuph Makamba ni nini.

2. Baba Mzazi wa January ni nani na anatokea wapi.

3. Mama Mzazi wa January ni nani na anatokea wapi.
 
Upumbavu mtupu. Jimbo la Bumbuli sio private property ya familia ya Makamba!
 
Kwani hali ya kwingine ikoje? Nadhani haujawatendea haki wagosi wa kaya ...
Kuna mbunge hapo Tanga wa Jimbo la Mlalo jina lake Rashid Shangazi nina jamaa yangu mtu mzima nadhani kiumri amemzidi Shangazi kidogo anasema kwa miaka kumi aliyokaa kama mbunge wa Jimbo hilo ameleta maendeleo ambayo kama angekuwa mtu mwengine mpaka yeye anaingia kaburini asingefanya aliyofanya Shangazi,it means waliomtangulia hawakufanya kitu.

Kupeleka umeme sehemu hata isiyotarajiwa,kuchimba visima vya maji safi kila kata/kijiji,shule nzuri secondary na msingi kila kijiji,hospital sijui zahanati kila kata jamaa ni very very smart anajua kukaa na wananchi haupiti mwezi hajafika jimboni kukagua maendeleo ya miradi iliyoanzishwa,sasa mtu ni mbunge nusu ya ubunge wake ameonekana jimboni mara nne tu huyo ni mbunge au kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…