Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tunaenda mbele hatua 2 halafu tunarudi nyuma hatua 4?! Au ni mimi ndiyo napata maruweruwe?Ilikua wapi wakati wanaupigia kura ya ndio . Ama walilewa mlungula
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana.
=======================
UPDATE: 16 00 Hrs
Hatimaye Sekretarieti ya BUNGE yakubali kuna mapungufu ya Mkataba wa bandari na DP World
Kha! Mmebadilika Tena?? Duh Si mlisema ni CHADEMA na mkutano wao wa Injili? Au mmeshafyatuka akili? Sio nyie mliosema Mwakabusi ni mlevi? Pumbavu kweliKwani huu mkataba walioupinga ni chadema tu Mwabukusi ni chadema Nshala ni CHADEMA Profesa Shivji ni chadema Dr Silaa ni chadema.
Hauvunjwi bure, lazima tulipe Tena kesi itafanyikia South AfricaKama Ngoma imeeleweka bas uvunjwe tu
Hahahaha lazima Kuna watu walitoswa kwenye mgawo, ndio wakaamua kukomaa naoHii sekretarieti ya bunge nahisi ilikuwa likizo wakati ule, ama namna gani!
Tulisema nani? Na tumebadilika na nani? Swala la kupinga mkataba mbovu wa bandari siyo la chadema ni la watanzaniaKha! Mmebadilika Tena?? Duh Si mlisema ni CHADEMA na mkutano wao wa Injili? Au mmeshafyatuka akili? Sio nyie mliosema Mwakabusi ni mlevi? Pumbavu kweli
Hata Mimi ni CCM damu ya kijani lakini nilipinga hadharani na siriniTulisema nani? Na tumebadilika na nani? Swala la kupinga mkataba mbovu wa bandari siyo la chadema ni la watanzania
Tibaijuka, Nshala, Mwabukusi, Dr Silaa, Malisa GJ, Lissu, profesa Shivji, hawa ndio walikuwa mstari wa mbele mpaka wengine walitishiwa.
Dr Slaa ni Chadema?CHADEMA wapewe maua yao
Propaganda zenu sijui wapotoshaji tayari sisi tumeshatoka hukoTindo huoni aibu kabisa??? Wewe ni moja ya viumbe mnaotia hasara dunia kwa kuwabania wengine natumizi ya oxygen. Wapinzani wapo chali kinoma tena wapo taabani kimwili na kiroho. Agenda ya mkataba wamebeba na wanapotosha. Kwa ufupi Dkt Samia kawashika pabaya! Mitaani huku ni Dkt Samia tu na CCM!
Naomba kufahamishwa hiyo sekretarieti ya bunge inaundwa na wajumbe kutoka wapi? Na je Ina mamlaka yepi?Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....
1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.
2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.
3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".
4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.
5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.
6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.
7. Hakuna muda wa mkataba.
8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.
9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini
Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
So Kamati ya Bunge haina uwezo wa kushauri kuhusu Mkataba......Ndyo haiwezi ila secretariet na kamati za bunge ni tofauti ndo unachomaanisha au Mkuu? Au mimi ndo sijaelwwaYes! Soma hii muongozo wa kulidhia mikataba ya kimataifa wa mwaka 2017
View attachment 2698013
Samaleko 😂😂😂😂🤣Zaidi takataka.
Huu ni ujinga wa hali ya juu.
Kwa akili zao hao kwa hicho kijikaratasi ambacho hakina tarehe wala saini wanaona ndiyo wanaipinga serikali.
Hivi manfikiri Watanzania wamelala?
Wewe Utakuwa unaniota kila mara
👇🏾Hahaa ile ya twitter ni aibu kwakweli dah
Upumbavu gani? Tupe uthibitisho kuwa hiyo nyaraka ni ya Bunge kweli?Sometimes ni muhimu kuficha upumbavu wako