Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

Kwani huu mkataba walioupinga ni chadema tu Mwabukusi ni chadema Nshala ni CHADEMA Profesa Shivji ni chadema Dr Silaa ni chadema.
Kha! Mmebadilika Tena?? Duh Si mlisema ni CHADEMA na mkutano wao wa Injili? Au mmeshafyatuka akili? Sio nyie mliosema Mwakabusi ni mlevi? Pumbavu kweli
 
Kha! Mmebadilika Tena?? Duh Si mlisema ni CHADEMA na mkutano wao wa Injili? Au mmeshafyatuka akili? Sio nyie mliosema Mwakabusi ni mlevi? Pumbavu kweli
Tulisema nani? Na tumebadilika na nani? Swala la kupinga mkataba mbovu wa bandari siyo la chadema ni la watanzania
Tibaijuka, Nshala, Mwabukusi, Dr Silaa, Malisa GJ, Lissu, profesa Shivji, hawa ndio walikuwa mstari wa mbele mpaka wengine walitishiwa.
 
Hata Mimi ni CCM damu ya kijani lakini nilipinga hadharani na sirini
 
Tindo huoni aibu kabisa??? Wewe ni moja ya viumbe mnaotia hasara dunia kwa kuwabania wengine natumizi ya oxygen. Wapinzani wapo chali kinoma tena wapo taabani kimwili na kiroho. Agenda ya mkataba wamebeba na wanapotosha. Kwa ufupi Dkt Samia kawashika pabaya! Mitaani huku ni Dkt Samia tu na CCM!
Propaganda zenu sijui wapotoshaji tayari sisi tumeshatoka huko

Hoja iliyopo mezani kwa sasa tunajadili jinsi ya kujitoa kwenye dubwana hilo la mkataba bila kuleta madhara makubwa kwa taifa letu
 
Tumelumbana weee, tumeelezana weee, Kuna wale vichwa maji wakajifanya wajuaji kuliko hata wajuaji wenyewe. Haya Sasa huu hapa Waraka wa bunge na kwa kifupi wamekubali kuwa....

1. Huu ni Mkataba, hakuna mahali wameandika Makubaliano kama akina Silaa (Mbunge) alivyowachanganya.

2. Wamekubali kuwa "hakuna ukomo" wa mkataba huo.

3. Wamekubali na kubaini kuwa "mkataba huo hauvunjiki".

4. Kuanza Kwa Early project activities kabla ya BUNGE kuweka baraka.

5. Shughuli za migogoro kufanyika South Africa, yaani mgogoro wowote.

6. Serikali kukosa "haki" ya kuvunja Mkataba, ni mkataba sio Makubaliano.

7. Hakuna muda wa mkataba.

8. Serikali KUZUIWA kuingia Makubaliano na MTU au taasisi yoyote kuhusu Bandari.

9. Serikali ya Dubai "kutokuonyesha" wazi nani Mwenye mamlaka ya kusaini

Hahahaha zile Simbilisi zije hapa Sasa! Mkataba wa kijinga kuwahi kutokea
Naomba kufahamishwa hiyo sekretarieti ya bunge inaundwa na wajumbe kutoka wapi? Na je Ina mamlaka yepi?
 
Zaidi takataka.

Huu ni ujinga wa hali ya juu.

Kwa akili zao hao kwa hicho kijikaratasi ambacho hakina tarehe wala saini wanaona ndiyo wanaipinga serikali.

Hivi manfikiri Watanzania wamelala?
Samaleko 😂😂😂😂🤣
 
Kama una akili timamu huwezi kusign au kupitisha mkataba ule, mbaya zaidi mme sign na nchi hewa, ndio maana miaka rudi hatuna maendeleo na kila mwaka tuko busy kufanya ubinafsishaji wa kijinga , hapo ndo akili za CCM zime gotea, kila kitu hawawezi.
 
Back
Top Bottom