Iran 2022 alisupply she had drones........kamikaze drone,hizo zilibalisha upepo wa vita ya Russia-ukraine,.....maana ni silaha mpya ambayo haikuwahi kuwepo,$1500 drone,inatafuta target,inadestroy a $100 milioni building,........hii iliwatisha sana NATO😀😀.Ukraine uenda ilikosa usingizi kwa mvua zile za IRAN maana ilijua mlango unaofuatia ni ballistic kwenda RUSSIA kwa mkopo.
Vita siyo nzuri but ISRAEL amevuna alichopanda.
embu chambua na ya Iran imeanguka asilimia ngapi usiegeme upande mmojaSekta ya kiteknolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kufuatia Iran kuvishambulia na kuviharibu vituo na taasisi mbalimbali za kisayansi na kitafiti za Israel.
Aidha vita hiyo imeigharimu Israel zaidi ya$10bilion katika kushambulia na kujilinda pia sarafu ya Israel ilianguka kwa 2.5 kufuatia vita hiyo.
Loss yeyote ya Iran hata iwe kubwa kiasi gani haina maana,unajua kwa nini?embu chambua na ya Iran imeanguka asilimia ngapi usiegeme upande mmoja
Tafuta hizo taarifa za Iran kaanguka % ngapi anzisha uzi wake alafu tuje kuchangia na rong range missiles😁embu chambua na ya Iran imeanguka asilimia ngapi usiegeme upande mmoja
Hizo hawawezi kuzipata.......since 1947 Taifa la Israel lilipoanzishwa halijawahi experience huu mziki,.........yaani watu wanapiga missile zaidi ya kilomita 2000,ndani ya dakika 12 imeshatua nchini kwako......na unavunja concrete za machuma na mazege.....😀😀😀Tafuta hizo taarifa za Iran kaanguka % ngapi anzisha uzi wake alafu tuje kuchangia na rong range missiles😁
Achana na hao ng'ombe unawaonea bure tu mkuu... ukitaka wakupende wakupe hadi maini yao waambie shalom Israel🤣🤣🤣Tunaweka source ili wapumbavu wanaosema Israel inapigania ukristo while Israel ina waislam wengi kuliko wakristo na hawana habari kabisa na huo ukristo,waone facts na sio maneno
damages 45 Labs in Israel oldest institute
Acheni ubishi usio na maana...Trump ataijenga Israeli upyaaa.
Halafu hakuna kitu kama %44. Au huko St. Kayumba mnafundishwa ujinga?
Trump alichesema ni kweli kwa siku kadhaa wamerusha ballistic missiles na yamepiga majengo kadhaa lakini mwisho akasema hawatatengeneza mabomu kwa muda mrefu. Ndugu unadhani hapo anazungumziwa nani?😂Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.
Lakini hii inayozungumzwa hapa ni ya Israel kuingia katika vita na nchi inayomshinda nguvu ndiomaana kapoteza pambana na kaingia hasara iliyoandikwa na mleta mada hapo juu.
Nina uhakika toka uzaliwa haukuwahi kumuona Netanyahu akiwa katika muonekano huu, lakini hii vita ya week 1 imemfanya Netanyahu apururuke namna hii kwa sababu ya kukosa kula, kuoga na kulala.
Hebu msikilize Trump hapo kwenye video amesemaje. Kama lugha ya marehemu Elizabeth haufahamu nitag nije nikutafsirie. Lakini hata kama haukuelewa hiyo video, picha ya Netanyahu hapo juu inaweza kukufanya uelewe kuwa Israel safar hii ilikuwa katika hali gani. Na hapo ni week tu.
Labda kwa msaada wa uelewa wako mdogo, hakuna vita isiyokuwa na mshirika yaan huyu Iran hapigani vita na Israel ukadhani yuko peke hakuna hicho kitu. Wale Hamas, Hezbollah, Houths wote mshirika wao alikua Iran hilo liko wazi labda kama hujui omba ufahamishwe. Iran mshirika wake Russia.Hayo mapigano unayosema Israel ametumia mwaka kupigana yalikuwa ni ya yeye kupiga wakina mama na watoto huko Gaza bila yeye kupigwa tena kwa msaada mkubwa wa Marekani.
Ndugu babu wa miaka 75+ unapenda muonekano wake uweje? Mbona mnaanza kuwa na akili za kitoto sasa.Nina uhakika toka uzaliwa haukuwahi kumuona Netanyahu akiwa katika muonekano huu, lakini hii vita ya week 1 imemfanya Netanyahu apururuke namna hii kwa sababu ya kukosa kula, kuoga na kulala.
Eeeh walijipanga mpaka kuleta propaganda ya kwamba nuclear site zao walizihamisha wakati zilishapukutishwa mpaka wanasayansi wao.Kuna kitu najiuliza sana, hivi hawa roketi zao walisha zi pre-programme kwa kuziwekea coordinates mission critical Israel military assets na pia military industrial complex!! Inaelekea Wairan walijipanga siku nyingi for this eventuality - my OPINION.
Bibi amshukuru Trump kwa kumnusuru na kifo 🤣🤣🤣Mbona Natenyahu amezeeka ghafla!! Hatarudia kuleta mambo ya kipuuzi mashariki ya KATI, bila Trump kumuonea huruma baada ya kuona kipigo cha Iran dhidi ya BIBI sijui saa hizi tungekuwa tunazungumza nini??
Usimlishe maneno Trump unless useme haukuelewa kingereza alichoongea. Wewe kwa akili yako unafikiri amezunguzia majengo kadhaa?Trump alichesema ni kweli kwa siku kadhaa wamerusha ballistic missiles na yamepiga majengo kadhaa lakini mwisho akasema hawatatengeneza mabomu kwa muda mrefu. Ndugu unadhani hapo anazungumziwa nani?😂
Amekosea sana, hayo makafiri hayatakiwi kuwepoIran alikosea kusimamisha vita angendeleza kipigo mda wa miezi mitatu ingekuwa safi sana
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe. Unatunga uongo na kujidanganya mwenyewe. Aliekwambia kuwa Iran imesaidiwa na Russia ni nani? Leta facts au ushahidi, sio uzushi na uongo.Labda kwa msaada wa uelewa wako mdogo, hakuna vita isiyokuwa na mshirika yaan huyu Iran hapigani vita na Israel ukadhani yuko peke hakuna hicho kitu. Wale Hamas, Hezbollah, Houths wote mshirika wao alikua Iran hilo liko wazi labda kama hujui omba ufahamishwe. Iran mshirika wake Russia.
Kwani wakati alipovunja makubaliano ya kusitisha mapigano na Hamas alikuwa na umri gani. Mbona hakuwa amekondeana hivi?Ndugu babu wa miaka 75+ unapenda muonekano wake uweje? Mbona mnaanza kuwa na akili za kitoto sasa.