Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

NYIE WAISLAMU MNAPELEKEWA MOTO NA YULE MZOGA PALE MNAPORUSHAGA MAWE AKILI HAMNA
 
Hii video kutoka kwa Trump mwenyewe imemaliza ubishi maandazi wa walokole....
Kila siku nilikuwa nasema mengi sana yamefichwa kwa msaada wa Google na vyombo vya habari
Na alipoaanza kuwantwanga nchi za waarabu, Trump kaona hapa dili zake zote zinavurungwa, mpaka alimtukana Nyau live kwenye TV...


Your browser is not able to display this video.
 
Kuna video niliona netanyau analalamika na kusikikitika namna IRAN ilivyopiga kituo chao cha utafiti wa kisayans
ni kama vile anaomba huruma kwa DUNIA kuona kwamba IRANI amemfanyia kitu kibaya sana

ETI anasema Iran chini ya uongozi wa shetani ayatollah imeharibi kabisa kituo cha uchunguzi wa kisayansi ambapo kilikuwa ni maendeleo ya DUNIA kwa ujumla

mmoja akacoment akasema huyo analalamika baada kituo chao kikubwa cha kijeshi na intenejesia kusambaratishwa kuwa JIVU kabisa ambacho kimoja kilikuwa mkabala na hospati ile ya DOROKA HOSPTARI kuke beersheba
iliwauma sana lile shambulio
ndio kilifanya netanyau kufanya maamuzi ya kijinga kwa kuishambulia IRAN kwa zaidi ya masaa 5 mfululizo pamoja na TRUMP kuhitisha CEASEFIRE
Maana yale mashambulizi ninkama hayakuwa katika plan kutokana alikuwa anapiga hivyo bila target
yeye akawa anashambulia pamoja na trump kuhitisha CEASEFIRE
kwa namnaoja au nyingine walikuwa wameumia sana
llasasa baada lile shambulio kuendelea licha ya kuitishwa CEASEFIRE kilichokuja kuwapata kesho asububi yake hawawezi sahau baada iran kujibu kwa kutandikia kinu cha nyukria cha umeme Netanyau akataka kwenda kushambulia tena licha ya muda wa CEASEFIRE ushapita lkn safari hii trump akamzuia sijui aliambiwa nini akaufayta
ila trump alipost tu hayo mabomu yarudi ndani

Hakika israel haitasahau namna nchi yake ilivyoshambuliwa kiasi kwamba vita ingeendelea wiki zaidi mifumo yake ya ulinzi isingeweza tena kuzuia missile za iran

unajua ukiona zile VIDEO netanyau anatembelea sehemu zilipotandikwa basi ujue ni sehemu nyeti na muhimu mno na hasara kubwa imetokea sana hapo
ila janja yao ilikuwa wanaonyesha yupo katika nyumba zilizoharibika ili ionekane IRAN imepiga nyumba za CIVILIAN
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kuna VIDEO moja Anahojiwa trump wakati anaenda kupanda MARINE ONE kaongea kwa hasira mpaka katukana baada demu wake NETANYAU kufanya ndivyo sivyo wakati yeye ashasema iwe CEASEFIRE
 
Mbona Natenyahu amezeeka ghafla!! Hatarudia kuleta mambo ya kipuuzi mashariki ya KATI, bila Trump kumuonea huruma baada ya kuona kipigo cha Iran dhidi ya BIBI sijui saa hizi tungekuwa tunazungumza nini??
Hahaha nyie watu ni vitu viwili tuu, either so dumb hamuelewi kitu au mmeamua kujidanganya na kuamini ushuzi wenu, Iran air defense yote imekuwa destroyed na Air Force yote ni non existence then mnasema Iran kashinda 😂😂, mna akili za maharage nyie
 
Hakuna sehemu ilipo andikwa kuwa imekufa bali ni imeporomoka hivyo wanahitaji muda wa kuirudisha sehemu ilipo kuwa kabla ya vita.
 
Usimlishe maneno Trump unless useme haukuelewa kingereza alichoongea. Wewe kwa akili yako unafikiri amezunguzia majengo kadhaa?
Nimetafsiri alichoongea na alichomaanisha. Labda useme ulichoelewa pengine hawawakukusaidia kutafsiri waliokulisha tango pori
 
Mimi huwa najiulizaga tunajuaje ya wenzetu wakati huku kwetu hakuna kinacho endelea? kwanini tusiwekeze akili nyingi humu nchini mwetu?
 
Kwa hiyo hapa ni comments za kuwafariji Iran au sio?
 
mkuu. kuna watu humu hawaijui iran,hatakujishughulisha kuijua hata kidogo tu hawataki. hiyo ndio shida
 
Trump mara nyingi huwa hapendi unafiki. Na akiamua jambo anakuwa ameamua kweli. Kina Shetaninyau walitaka wamfunge mdomo asije kuongea kweli, lakini mwamba hafungiki mdomo. Hatimae kaja kuongea ukweli tena mbele ya kikao kinachofuatiliwa na dunia nzima.
 
Hahahahah mkuu acha uongo, huyu ni neta?.
 
Hahaa.. Israel anapigana vita mwaka mzima. Anarusha ndege, missiles, drones n.k. vita ya wiki mbili imdhoofishe hivyo?😂😂

VITA ni mkakati unapigwa kimkakati unatulia kinachobaki unaanza kupiga propaganda.

Yaani umeshindwa kabisa kuona tofauti ya hivyo vita alivyopigana mwaka mzima na hivi alivyopigana na Iran kwa muda wa wiki mbili!?
Yaani haujaona kabisa tofauti!?
 
Yaani umeshindwa kabisa kuona tofauti ya hivyo vita alivyopigana mwaka mzima na hivi alivyopigana na Iran kwa muda wa wiki mbili!?
Yaani haujaona kabisa tofauti!?
Mkuu Keyboard_Warrior mimi katika vita hii, nimegundua kuwa ni rahisi mno kubishana na myahudi wa Tel Aviv ambae ana uelewa na elimu ya kutosha, kuliko kubishana na myahudi wa Manyovu Kigoma ambae hana uelewa wala elimu ya kumsaidia kidogo kuelewa mambo.

Hawa wayahudi wetu wa manyovu wengi ni wabishi na wasiotaka kukubaliana na ukweli wowote kutoka kwa mtu mungine hata kama utawawekea ushahidi wa 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…