Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Well said,yaani mkuu nimecheka mpaka basi!! Mimi naona Bunge la Israel lipige kura ya kumuondoa Natenyahu madarakani, Natenyahu ni liability wa Taifa la Israel na siyo asset, akigangania madarakani atawatia hasara Wayahudi kiburi na jeuri lake notwithstanding!! Hafahi kabisa.
 
Na hapo amshukuru Trump, kama hili pambano lingeendelea week nyingine mbele, hayo macho ndo yangetumbuka kabisa na yeye wangemkuta ndani amejifia kwa stress za kuogopa kushambuliwa na makombora ya Iran.
Nasikia muda wote alikuwa anajificha kwenye mahandaki ya zege hasa alipo pata habari na yeye kushuhudia kwamba kumbe makombora ya Iran si lele mama.
 
Huo ndio ushirika wenyewe unaozungumzwa hapa. Hata kama hajapata msaada wa moja kwa moja ilakuhakikishiwa wako pamoja tayari anajua ana back up. Iran kavi support vikundi vya kigaidi kupambana na Israel kwa muda mrefu tu. Israel kaamua kupiga chanzo ndani ya wiki moja tunamuona waziri wa ulinzi Iran keshaenda kufanya vikao na Putin na Putin katoa ahadi ya support.

Russia anataka kuweka support kwenye ulinzi wa anga maana kitu ni cheupe ndio maana IADF wanafanya wanavyotaka
 

Attachments

  • images (8).jpeg
    35.9 KB · Views: 20
Bishana kwa hoja ukizidiwa usianze ku attack watu kwa nyuma. Maana mara ya kwanza ukahisi watu hawaelewi kingereza kwamba unakijua peke yako ukashindwa. Sasa hivi unasema watu hawaelewi na kumbe kwa asilimia kubwa wewe ndio bishi huelewi chochote
 
Yaani umeshindwa kabisa kuona tofauti ya hivyo vita alivyopigana mwaka mzima na hivi alivyopigana na Iran kwa muda wa wiki mbili!?
Yaani haujaona kabisa tofauti!?
Ndugu vita ni intelligensia sio kurushiana mabomu na risasi. IDF kwa wakati mmoja kapigana na Hamas, Hezbollah na Houths kachakaza wote kaamua kwenda kulianzisha kwa baba yao kachakazwa naye. Bado ana uwezo wa kufanya kila anachojisikia kwenye anga ya adui huyo mtu unamchukuliaje?

Vita haikuanza Oct 07 ya Hamas, au usidhani ile siku IADF aliporusha drones kwenye kushambulia nyuklia sites za Iran ndio vita ilianza, kulikua mikakati na mbinu mbalimbali yawezekana miaka hata miwili nyuma. Kwahiyo nikisema huyu anapigana vita mwaka mzima unielewe
 
Mbona unadanganya sana we jamaa!?
Israel katika vita zote alizoanzisha AMEFELI na kupata hasara kubwa.
1.Vita na Hama,Israel lengo lake lilikua kurudisha mateka na kuwaangamiza Hamas.Mateka hawakurudi na Hamas bado wapo imara.Israel iliishia kupoteza Askari zaidi ya 10k na walemavu wa kudumu 120k katika jeshi.
2.Vita na Hizbollah ilisababisha kuteketezwa kambi ya Galilee nzima na kufa askari wasio na idadi isiyojulikana na raia takriban 300k kuwa internally displaced.Israel ikaanza kushambulia Central Lebanon na kuacha vita South Lebanon hali iliyopelekea Serikali kuu kumshurutisha Hizbollah akubali ceasefire kupitia US na France.
3.Houthi waliowashambulia ni USA sio Israel.

Tukija vita hii ya sasa na Iran ISRAEL IMEPIGIKA KULIKO KUWAHI KUUNDWA KWA HILO TAIFA.
millitary camps nyingi zimelipuliwa,vituo vya uwekezaji vingi vimelipuliwa na iron dome imefeli kufanya kazi yake.Malengo ya Israel yalikua kulipua uwezo wa makombora wa Iran unlucky Iran inahifadhi makombora kwenye mahandaki na ina missile launchers chini ya mahandaki HUWEZI kuyafikia.Lengo lingine lilikua kuvunja uwezo wa nuclear enrichment wa Iran ila umefeli na taarifa zinathibitisha wamerudishwa miezi michache nyuma tu kwenye kuendelea na urutubishaji.Lengo la mwisho ilikua kuubadili utawala ila nalo limeshindikanika.
Msitudangaye kuwa eti Israel ilitawala anga la Iran ilhali tulikua tunaona ADS za Iran zikifanya kazi licha ya kuwa kwa kiwango fulani zilizidiwa.
Tena hapo USA amekua akimsaidia Israel kwenye hii vita kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Mtake msitake Israel safari hii AMEFELI pakubwa,Kila mtu aliona,hata maafisa wa jeshi wastaafu walikiri kuwa Israel kwa mwenendo huu atafeli.
Mwisho aliyeomba amani ni Israel sio Iran.
Msitudangaye aisee tunajielewa.
 
Huu
Huu UHARO umeutoa wapi na nani kakudanganya??? Weka source ya Matapishi yako haya tuone!!!!
 
Tuwekee hilo Gazeti na sisi tulione lakini najua huwezi kuweka Source maana hata wewe unajua huo ni uongo mtupu kujipa moyo baada ya Israel kuwashambulia Iran na kuua makamanda wake wengi
 
Oct 07,2023 Hamas waliua watu zaidi ya 1,200 na kuteka nyara watu 251 mpaka sasa hivi mateka waliokombolewa ni 101 wamebaki ni 50 hayo ni mafanikio makubwa sana kijeshi. Jeshi la Israel ni dogo sana hiyo idadi ya waliokufa mmejitungia huko bila kujua Israel Ina jeshi kubwa kiasi gani!!! Kama ilivyo kawaida yenu uongo na upotoshaji ndiyo silaha yenu kubwa.

Na kwa ujinga mlionao mnafikiri mkitaja namba kubwa ya Askari wa Israel waliokufa ndivyo watakavyokufa wakati ni uongo mtupu. Hata hivyo endeleeni tu kujifariji na kujipa moyo lakini haiondoi ukweli kuwa Iran kapigika vilivyo Makamanda wake waandamizi wote wamefyekelewa mbali!!!
Kuhusu magaidi wa Hezboullah kipindi cha Marehemu Gaidi Hassan Nasrallah wakisema hawawezi kusimamisha vita mpaka israel iache kuwashambulia magaidi wa Hamas,. Baada ya yeye kuuliwa na makamanda wake wote walipouwawa na Operation Beeper πŸ“Ÿ ambako wengi walipoteza mikono,miguu,macho na wengine kupoteza Makende yao ilibidi wale matapishi yao wenyewe kwa kuomba kusitisha mapigano ili wasiendelee kupoteza watu wao.

Tunapoongea leo hii tena Hezbollah wamepigwa kipigo cha mbwa-kachoka kwa ghala zao za kuhifadhia mabomu kushambuliwa na ndege-vita za Israel. Kwa hiyo kusema kuwa Hezbollah walishinda huo ni uongo na kutaka tu kujifariji na kujipa moyo baada ya Operation Beeper πŸ“Ÿ kufanya kazi ya kwa magaidi hao.
 

Attachments

  • video_2025-06-27_13-20-51.mp4
    2.3 MB
Kwahiyo Israel ni taifa ya Kiislam, sasa mnalalamika nini wakati ni vita ya ndugu zenu katika imaani!?
 
Wewe ni CHIZI fresh!!!
 
Bongo bhana, mtu uko Bonyokwa unaichambua Israel kuliko waisrael wenyewe!!! Umekula lakini?
 
Kwa hesabu zako hizo Mr. Kobazi ni sawa na kusema jeshi la Israel limetekete lote! Wasalimie Kingugi
 
Pana kipindi nilimwambia jamaa humu hawa mnaowaitwa wa irani msione wanarusha mawe mengi Israel mkafikiri wajinga na mkasema yamekuwa intercepted yote, kuna siku uwanjani hizi ngumi nyingi kwa wakati zitawa cost.
 
Msemaji mkuu wa serikali ya israel na simu yako ya mandasi store
 
Haya yote mnayasema kwa kutuandikia mkulizwa hizi taarifa chanzo chake ni mnakimbia. IDF wanakupiga na wanakwambia kabisa flani tumepiga na tumeua. Sasa Iran wamekufa ma generali na IDF ikasema ripoti kibao zinasema wamekufa watu 900+ huku Iran karusha missile karibu 1000 lakini madhara ni machache tena kwenye majengo.

Huu ubishi wa kijinga aliwarithisha nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…