Sekta ya kitekinolojia ya Israel imeanguka kwa %44 kutokana na mashambulizi ya Iran

Una uhakika niliyosema hayana ushahidi!?
Je nikikuletea ushahidi hapa?
Haya niliyoeleza vyombo vya habari tena vya wazayuni wenyewe YEDIOTHAHRONOTH,TIMES OF ISRAEL vilitoa taarifa.
Uache uongo aisee watu tuna macho na akili.
 
Mkuu kama una muda mzur, basi malizana nae huyo myahudi wa Manyovu. Mimi mimeamua niachane nae, kwa sababu siwezi kuendelea kubishana na wayahudi washamba washamba kama huyo jamaa hata siku 1.
 
Mkuu kama una muda mzur, basi malizana nae huyo myahudi wa Manyovu. Mimi mimeamua niachane nae, kwa sababu siwezi kuendelea kubishana na wayahudi washamba washamba kama huyo jamaa hata siku 1.
Hadi sasa tayari atakua kaelewa somo.
 
Una uhakika niliyosema hayana ushahidi!?
Je nikikuletea ushahidi hapa?
Haya niliyoeleza vyombo vya habari tena vya wazayuni wenyewe YEDIOTHAHRONOTH,TIMES OF ISRAEL vilitoa taarifa.
Uache uongo aisee watu tuna macho na akili.
Daah mkuu bado tunabishana kitu kilekile. Kwa faida yetu sote naomba hizo taarifa kwenye hivyo vyanzo. Ukija hapa kwa kunitajia tu hata mimi naweza kukutajia vyanzo mbalimbali kwa hiyo tutabishana bila misingi.

Nachojua kulingana na taarifa Gaza bado oparesheni inaendelea hivyo huwezi sema IDF kafeli, kuhusu Iran IADF malengo yake ni kuinyong'onyeza Iran kwakile kilichokua kinampa jeuri hasa silaha za nyuklia na wamefanikiwa kwa malengo hayo. Hapa sasa kama utaendelea kubisha njoo na hizo usiwe kama jamaa wengine wakishindwa wanaanza kunisemea pembeni kwa kejeli.
 
Wewe kufeli unalichukuliaje?
IDF huko Gaza misheni zake zote kafeli hajawamaliza Hamas na hajakomboa mateka.
Amebaki kuua tu raia hovyo.

Unajichanganya sasa,nani kakwambia Iran alikua anajivunia silaha za nuclear?
Lini aliunda hizo silaha?
Ripoti zilishasema kuwa mashambulizi ya US na Israel hayajafanikiwa kuharibu mpango wa nuclear wa Iran bali imewarudisha miezi michache nyuma.

Nakuletea ushahidi sasa hivi usijali.
 
Unajichanganya sasa,nani kakwambia Iran alikua anajivunia silaha za nuclear?
Lini aliunda hizo silaha?
Ripoti zilishasema kuwa mashambulizi ya US na Israel hayajafanikiwa kuharibu mpango wa nuclear wa Iran bali imewarudisha miezi michache nyuma.
Ni miaka sio miezi kwa mujibu wa ripoti umepotosha hapo.

Nilichogundua tunabishana kushindana na mimi sipo huko ndio maana kuna jamaa yako kila comment anacheka cheka tu.

Anyways am resting my case now ila nasubiri taarifa ya hivyo vyanzo vyako
 
Tuanze na vita ya Gaza.
Nakupa crippled soldiers kwanza.
 
Ni miaka sio miezi kwa mujibu wa ripoti umepotosha hapo.

Nilichogundua tunabishana kushindana na mimi sipo huko ndio maana kuna jamaa yako kila comment anacheka cheka tu.

Anyways am resting my case now ila nasubiri taarifa ya hivyo vyanzo vyako
Una uhakika ni miaka sio miezi?
Nikuletee ripoti hapa?
Subiri.
 
Ni miaka sio miezi kwa mujibu wa ripoti umepotosha hapo.

Nilichogundua tunabishana kushindana na mimi sipo huko ndio maana kuna jamaa yako kila comment anacheka cheka tu.

Anyways am resting my case now ila nasubiri taarifa ya hivyo vyanzo vyako
Embu soma hapo CNN wanaposema "set it back by months".
Au siku hizi month kwa kiswahili ni miaka!??
 
Adriel5 soma hii......waite wale wakristo wachache wa Africa WAPUMBAVU wanaoamini Israel ni Taifa la mungu,Ilhali huyo kristo anapingwa kama muhaini pale Israel😄😁😆
 
Trump ataijenga Israeli upyaaa.
Halafu hakuna kitu kama %44. Au huko St. Kayumba mnafundishwa ujinga?
Wewe unamjua Trump au unamsikia ?yeye na mambo ya pesa hataki mchezo kabisa, huyo ni mfanya biashara bahili kwelikweli, pesa ya hazina ya Marekani anahisi kama za kwake binafsi.. Usiku na mchana anawaza akapore wapi pesa, wewe unazungumza eti ataijenga Israel, acha mzaha Mzee..!
 
Yangekufa yote hayo hayana faida kwa dunia
Umesema hayana faida?
1. Google unaitumia kila siku, ni yao
2. FB imeua kipindi cha satellite cha RFA kufa kabisa
3. Satellite nyingi duniani pia ni zao
4. Unamjua sir Isaac Newton baba wa Mechanics, ni Myahudi yule
5. Mgunduzi wa umeme hu tunaoutumia pia ni Jew as well
6. Hizi silaha za nuclear wanazo gombania leo, unajua kwamba ni mtu wao ndio aligundua?
7. Sasa, fungus wallpage ya simu yako then tazama app ulizonazo, utagundua over 70% ya hizo app ni zao wao

Tuwaseme vibaya kwa mambo mengine lakini kusema hawana maana, unakua ni sawa na mtu ambaye anaropoka tu
 

Na mtaendelea kutemewa mimate na kuitwa NYANI, ingelikua nchi za kiislamu wamefanya huo upuuzi sijui kama kungekalika humu jamiiforum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…