Selfika na JF: Snap it. Show it

I salute you
 
Aisee hiyo sare ya jeshi umeifanya njunga unatamba nayo popote tu, sasa siku nikukamate usijesema wanajeshi wakorofi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimetishwaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha kwani kachelewa kashalalia kwenye wivu tu
 
Aiseee hannah nakupendaje mimi mwenzenu kubishana siwezagi kabisaaa kwanza na kigugumizi nitaishia kulia tu.
Mimi kwenye kitu ambacho ni pumba sikubali, nitabishana unaweza dhani nalipwa.
Sasa wewe mguu tuu eti ndio swaggs na quality na style zimeonekana hapo. Halafu anasema " kwa wanaume kamili lazima wakubaliane nae" hivi anajua maana ya mwanaume kamili?
.
 
Enheee hili ndo tatizo la huyo bwana
Hilo ndo la msingi potezea tu.
Na hii ndo shida ya watz wengi mtandaoni hawawezi sifia kitu mpaka walinganishe na kuunda teams hawawezi msifia Ali kiba mpaka wamlinganishe na mwanamusic mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…