Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu hiyo avatar yako kila nikiiona naitafakari ila sijawahi kuipatia jibu ni kwamba hiyo sura ndiyo imechorwa kwenye hivyo vidole au hivyo vidole ndiyo vimechorwa kwenye hiyo sura??
Mkuu hiyo ni Photoshop isikuumize kichwa
 
Dah jamani... Ukikubali kwamba duniani huwezi kumvutia kila mtu wala huwezi kupendwa na kila mtu... Utaishi kwa Amani sana

Ndugu yangu scorpio me picha ulizoweka hapa zina mvuto sana... Hakika Mungu amekubarikia
Sasa kama ni hivo kilichokupa jeuri ya kusema kila mwanaume kamili lazima akubaliane na wewe ni nini?
.
Kama kila mtu ana namna yake anavovutiwa?
 
Picha yako wewe 100% mzuri,iko full no doubt. Hii ingine ni imagination tu, imagination inaweza kukufikisha nje ya dunia, that's all, imagination.
Nakubali.
Ila nisichokubaliana nacho ni kusema kila mtu ana mtazamo wake huku anasema kwa kila mwanaume kamili lazima akubaliane nae kwamba miguu ile imefunika picha zote za wadada huku.
Kwahiyo wasiokubaliana nae sio wanaume kamili? Kumbuka kila mtu ana mtazamo wake wa namna anavomuona mtu.
.
Kwa mwanaume mwenye akili hawezi kusifia huku akofanya comparison za kijinga hivyo.
 
Sasa kama ni hivo kilichokupa jeuri ya kusema kila mwanaume kamili lazima akubaliane na wewe ni nini?
.
Kama kila mtu ana namna yake anavovutiwa?
[emoji23][emoji23] Dah sijaelewa unachoshindania

Unataka nitengue kauli ama ni ugomvi unataka au unataka nikuambie nawewe ni mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…