Selfika na JF: Snap it. Show it

Alfu unadhani hata wale anaotaniana nao hawamfahamu maana wanamjua ni mmbea mzandiki hana siri wanakaa NAE kwa password wanalicheke* tu knafki
 
Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
🀣🀣🀣🀣 bora na nyie mnisaidie nikisema mimi anasema namchukia
 
Wanavyopenda kugugo
Tutabambwa

Ila nahisi nimeshajua
Ngoja nije πŸ˜‚πŸ˜‚

Safari hii tunaleta vyote
Kipome na keki
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatuchelewi kuletewa picha za gugo watu wanadeposit ila mikono hainekani na nyumba za michongo halafu kapiga fence tu, em awe anatuonyesha na ndani.!!
 
Hee
Kumbe matajiri wanagombania vocha na sisi wauza maparachichiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Nchi ngumu sana hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi analia kakosa wenzie wamewahi kuingiza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuna matajiri wagombania vocha
Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁
 
🀣🀣🀣 anapenda kuchongelea km last born vile, kwanza Max aanze kutoza member wenye blue tick wengine hawana mchango wowote
 
Naliskitika aliwaponda humu mara wanauza ndizi hawajui Dolla aiseee kweli Mungu anakuumbua kweupeee unajisema mwenyewe
Huyo hata dollar hazijui ni mshamba mlugaluga mmoja mtafuta kiki ili aonekane mambo safi, hajui mashauzi yaendane na kipato..! Leo kiko wapi anashindia vocha za bure halali, kawashinda had mods mana hata wao wanaingia kwa shift 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…