Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alfu unadhani hata wale anaotaniana nao hawamfahamu maana wanamjua ni mmbea mzandiki hana siri wanakaa NAE kwa password wanalicheke* tu knafki
 
Najiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. 😂😂💔...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
🤣🤣🤣🤣 bora na nyie mnisaidie nikisema mimi anasema namchukia
 
Wanavyopenda kugugo
Tutabambwa

Ila nahisi nimeshajua
Ngoja nije 😂😂

Safari hii tunaleta vyote
Kipome na keki
😂😂😂 hatuchelewi kuletewa picha za gugo watu wanadeposit ila mikono hainekani na nyumba za michongo halafu kapiga fence tu, em awe anatuonyesha na ndani.!!
 
Hana kazi mjini anaishi kwa boss wake,Nop sina tatizo na ladies tatizo ni yy kujifanya tajiri , Dah tokea jana anakula credit afu wanamchora sana ,nimefuatilia hizo chitchat ,
Alfu limarioo linasfia ujing** Dah mkuu inasikitisha, ni limwijak * haswa , sasa hv anaandaa report kwa admn naenda kule JF members chat nkamparue
🤣🤣🤣 anapenda kuchongelea km last born vile, kwanza Max aanze kutoza member wenye blue tick wengine hawana mchango wowote
 
Naliskitika aliwaponda humu mara wanauza ndizi hawajui Dolla aiseee kweli Mungu anakuumbua kweupeee unajisema mwenyewe
Huyo hata dollar hazijui ni mshamba mlugaluga mmoja mtafuta kiki ili aonekane mambo safi, hajui mashauzi yaendane na kipato..! Leo kiko wapi anashindia vocha za bure halali, kawashinda had mods mana hata wao wanaingia kwa shift 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom