Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nuzu tupia sijakuona mudaNampenda kwa ishara eee
Naogopa kutamka 🐒🐒
Ila sio humu kwa wagombea vocha 🏋🏻🏋🏻
Tayari mkuu hapo juunuzu tupia sijakuona muda
hapana huyo si weweTayari mkuu hapo juu
Nakojoaaaaa 😂😂😂Hahahaha...nacheka kama...mazuri mwenyewe anakwambia ana miliki Subaru 😂😂😂💔💔
Unanijua kumbe 😁😁hapana huyo si wewe
🤣🤣🤣🤣 bora na nyie mnisaidie nikisema mimi anasema namchukiaNajiuliza yy shughuli zake anazifanya sa ngapi.. ilhali yy ni tajirii.. 😂😂💔...coz 24/7 yupo jf anagombania vocha na kuchit chat na wapuuz wenzake...
🤣🤣🤣 basi tumpe kijoraAuponze mara ngapi...?😂😂
😁😁😁kazini kuna kaziNakojoaaaaa 😂😂😂
Subaru ipi? Forester?
Em atulize atauponza bure
😂😂😂 hatuchelewi kuletewa picha za gugo watu wanadeposit ila mikono hainekani na nyumba za michongo halafu kapiga fence tu, em awe anatuonyesha na ndani.!!Wanavyopenda kugugo
Tutabambwa
Ila nahisi nimeshajua
Ngoja nije 😂😂
Safari hii tunaleta vyote
Kipome na keki
😂😂😂😂 hadi analia kakosa wenzie wamewahi kuingizaHee
Kumbe matajiri wanagombania vocha na sisi wauza maparachichi😂😂😂💔
Nchi ngumu sana hii 😂😂😂😂
wewe mweupe afu chibonge bongeUnanijua kumbe 😁😁
😂😂😂 tuna matajiri wagombania vocha😁😁😁kazini kuna kazi
😁😁😁kumbe hata hunijuiwewe mweupe afu chibonge bonge
em tupia acha soga
Jamanii,jamaniii my wiii nicheke kwanza ule uzi watu mpaka wanakuja na Id mpya ili wagombee vizuri Vocha za bure niliwapa ukweli😁😁😁😂😂😂 tuna matajiri wagombania vocha
🤣🤣🤣 anapenda kuchongelea km last born vile, kwanza Max aanze kutoza member wenye blue tick wengine hawana mchango wowoteHana kazi mjini anaishi kwa boss wake,Nop sina tatizo na ladies tatizo ni yy kujifanya tajiri , Dah tokea jana anakula credit afu wanamchora sana ,nimefuatilia hizo chitchat ,
Alfu limarioo linasfia ujing** Dah mkuu inasikitisha, ni limwijak * haswa , sasa hv anaandaa report kwa admn naenda kule JF members chat nkamparue
Nchi ngumu hii😂😂😂😂 hadi analia kakosa wenzie wamewahi kuingiza
Huyo hata dollar hazijui ni mshamba mlugaluga mmoja mtafuta kiki ili aonekane mambo safi, hajui mashauzi yaendane na kipato..! Leo kiko wapi anashindia vocha za bure halali, kawashinda had mods mana hata wao wanaingia kwa shift 🤣🤣🤣Naliskitika aliwaponda humu mara wanauza ndizi hawajui Dolla aiseee kweli Mungu anakuumbua kweupeee unajisema mwenyewe
Huo uzi image uzi una dakika 1 toka uanzishwe una soma 1000 people are here hapo kuna kupata Vocha😁😁😁😁😁Nchi ngumu hii
Matajiri wanajua uzi wa kugombania vocha za bure
Mie maskini sina habari