Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitakaππππ muombe usione aibu shauri yako utalala njaa
nipo njee ya dar now ni changamotoSi umesharudi fanya sasa
Rudi mjini wewenipo njee ya dar now ni changamoto
Nikusaidie wewe kilema? ππSio kuhonga ni kunisaidia tu
kuna mambo yana nibana mfano now nakuja dar nitakuwa two week then narudi somewhereRudi mjini wewe
Ndinga ya moto ile tajiriiiiii umenifokea mpk nimeona nasindikiza watu tu duniani πππNo bhna , ndinga kitu gani bhna π₯²
aahhahaah ase nimecheka acha tuWatanionaje itakulaza njaaa shauri yako
Ukitoa ndio unapata zaidiNikusaidie wewe kilema? ππ
Tumsubiri bosslady aje atoe sandakalawe tugombaniane hapa, mwenyewe nataka mtaji wa vijora πΉ
mimi mbna sijaikataa iyooWatanionaje itakulaza njaaa shauri yako Lamomy nipe hii tenda
Kuna siku nitaiweka ndinga yako hapa na plate number, sijui lini Ila ipo siku nikiamka kichwa kikiwa na wengeπNdinga ya moto ile tajiriiiiii umenifokea mpk nimeona nasindikiza watu tu duniani πππ
π€£π€£π€£π€£ Ila Chinno unazingua!!Kwenye maombi 12 niliyoandika pale kawe! Mmoja ni la kupunguza vita zako.
Nashukuru Mungu zote zimeisha
Ndio unakuwa mdoli ili waone sample πKijora tena uhuuu ππ
poa muhimu pesaNdio unakuwa mdoli ili waone sample π
Mbona vingine huoni aibu? πππNawaza sijui nitaonekanaje, naona aibu kinoma Ila pesa naitakaπ
Sijazoea kabisa kuomba, Ila shida ninayo kweli. Hapo ndio pagumuMbona vingine huoni aibu? πππ
Shoga na huo mshepu vijora havikai chap mzigo tunamaliza mapema sanaaa πππWatanionaje itakulaza njaaa shauri yako Lamomy nipe hii tenda
post mkuuWatu 19 kidogo ni postπ€£π€£π€£