Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku nikiweka kope
Nadhani nitakuwa namuona Shumileta usoni kwangu
 
Mi nimekubali zimenishinda sizitaki kabisa
 
Kama vipi wafungue aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu uko vzrπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie naona tu maini
Sielewi kitu aisee
 
Unakuwa km unazomea watu km unataka kulia km unakata gogo gumu liligoma kuuacha mwili,,,, aaaaahh πŸ™ŒπŸ™Œ
Sasa mtu unakuta lifestyle yako hujali ngozi, ngozi imekuwa ngumu ya kenge ina nafuu, halafu unategemea make up ifanye maajabu... Hapo make up itadunda

Hapo unaionea make up...

Wadada ngozi ni sehemu ya urembo si kusuka tu na kuvaa...

Bora sie wanaume...
 
Sasa mtu unakuta lifestyle yako hujali ngozi, ngozi imekuwa ngumu ya kenge ina nafuu, halafu unategemea make up ifanye maajabu...

Hapo unaionea make up...

Wadada ngozi ni sehemu ya urembo si kusuka tu na kuvaa...

Bora sie wanaume...
Umeonaee wanawake tuna mengi jamani mara ngozi mara nywele mara msuko mara makeup nayo idunde uwe kituko, mara pozi bado mpiga picha asiwe na tekno wereva na ajue kuwa mpiga picha bado uwe mcute, kuwa mrembo ni shughuli tunapitia mengi na magumu
 
Kama vipi wafungue aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu uko vzrπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie naona tu maini
Sielewi kitu aisee
JF kuna maujinga mengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna soo lilitokeaga humu kuna member wakafungua group la kumdiscuss wakawamuadd mpk mtuhumiwa kwa id yake nyingine akawa anawachora na ushauri anatoa jinsi ya kumuadabisha 🀣🀣

Alivyonisimulia nilicheka 😹
 
Hapo kwenye vitenge

Mimi nguo za vitenge aisee napenda.
Nilivyokuja Mjini Dar nikapunguza maana zina joto sana

Nilikuwa navaa utasema umoja wa wamama
 
My Wii nimecheka Kwa nguvu🀣🀣🀣
 
Hee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…