Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂 nouma sana.!!
Mi makeup naiogopa nimenunua ila naishia kuitazama, kope nilikuwa mpenzi ila ss hivi sitaki hata kuziona… sijui nimeanza kukua?!!

Siku hizi had vitenge najifunga eti km mama kitulano 😹😹😹
Siku nikiweka kope
Nadhani nitakuwa namuona Shumileta usoni kwangu
 
Kuna birthday moja nilialikwa, birthday girl aliposimama, rafiki yangu akanambia mbona birthday girl kafanana na Michael Jackson?😂

Aisee kumtizama kwa makini nilicheka sana, amefanana na yule MJ kwenye Thriller...

Make up hizo, ukiwa mzuri mbona huwa sioni haja ya make up?
Au ni kukariri?

Huwa naona kazi ya make up ni kutoa tu zile black dots, makovu au chunusi sehemu baadhi ya uso kwa ajili ya photoshoot...

Na hapo mpakaji make up awe hodari kuchanganya hizo make up ziendane na skin tone yako... Mtu mweusi unapakwa make up ya brown😂
Mi nimekubali zimenishinda sizitaki kabisa
 
Hilo dude la moto sana nilipewa na ini mwenyewe 😂😂😂

Ila mie isingekuwa kuuza vijora ningefungua app yangu ya umbea mana nikikamia jambo mpk nilijue 🤣🤣🤣

JF wangekuwa wanaruhusu kuleta umbea wa members ningewapa burudani humu kuna burudani nyingi sanah.!!
Kama vipi wafungue aisee😂😂😂😂😂
Nkamu uko vzr😂😂😂😂😂
Mie naona tu maini
Sielewi kitu aisee
 
Unakuwa km unazomea watu km unataka kulia km unakata gogo gumu liligoma kuuacha mwili,,,, aaaaahh 🙌🙌
Sasa mtu unakuta lifestyle yako hujali ngozi, ngozi imekuwa ngumu ya kenge ina nafuu, halafu unategemea make up ifanye maajabu... Hapo make up itadunda

Hapo unaionea make up...

Wadada ngozi ni sehemu ya urembo si kusuka tu na kuvaa...

Bora sie wanaume...
 
Sasa mtu unakuta lifestyle yako hujali ngozi, ngozi imekuwa ngumu ya kenge ina nafuu, halafu unategemea make up ifanye maajabu...

Hapo unaionea make up...

Wadada ngozi ni sehemu ya urembo si kusuka tu na kuvaa...

Bora sie wanaume...
Umeonaee wanawake tuna mengi jamani mara ngozi mara nywele mara msuko mara makeup nayo idunde uwe kituko, mara pozi bado mpiga picha asiwe na tekno wereva na ajue kuwa mpiga picha bado uwe mcute, kuwa mrembo ni shughuli tunapitia mengi na magumu
 
Kama vipi wafungue aisee😂😂😂😂😂
Nkamu uko vzr😂😂😂😂😂
Mie naona tu maini
Sielewi kitu aisee
JF kuna maujinga mengi 😂😂😂
Kuna soo lilitokeaga humu kuna member wakafungua group la kumdiscuss wakawamuadd mpk mtuhumiwa kwa id yake nyingine akawa anawachora na ushauri anatoa jinsi ya kumuadabisha 🤣🤣

Alivyonisimulia nilicheka 😹
 
😂😂😂😂 nouma sana.!!
Mi makeup naiogopa nimenunua ila naishia kuitazama, kope nilikuwa mpenzi ila ss hivi sitaki hata kuziona… sijui nimeanza kukua?!!

Siku hizi had vitenge najifunga eti km mama kitulano 😹😹😹
Hapo kwenye vitenge

Mimi nguo za vitenge aisee napenda.
Nilivyokuja Mjini Dar nikapunguza maana zina joto sana

Nilikuwa navaa utasema umoja wa wamama
 
JF kuna maujinga mengi 😂😂😂
Kuna soo lilitokeaga humu kuna member wakafungua group la kumdiscuss wakawamuadd mpk mtuhumiwa kwa id yake nyingine akawa anawachora na ushauri anatoa jinsi ya kumuadabisha 🤣🤣

Alivyonisimulia nilicheka 😹
My Wii nimecheka Kwa nguvu🤣🤣🤣
 
JF kuna maujinga mengi 😂😂😂
Kuna soo lilitokeaga humu kuna member wakafungua group la kumdiscuss wakawamuadd mpk mtuhumiwa kwa id yake nyingine akawa anawachora na ushauri anatoa jinsi ya kumuadabisha 🤣🤣

Alivyonisimulia nilicheka 😹
Hee 😂😂😂😂😂😂
Hatari 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom