ASAP mahi πΉMbna hukujiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£ kapeace week ya 6 babu anakusubiri akupe urithi wa mashamba unambwela?Amejua Wazee hatuna madhara, lakini nimemuomba aniletee Kiko hii ni wiki ya 6 sasa hataki hata kuja πποΈποΈ
Hawa mababu watanifia mwaka huu maana nashindwa nichague yupi niache yupi na wote nawatakaKapeace mahi pension tayari kazi kwako πΉ
Igweeeeeeeee babu π€ΈββοΈ
Uzuri babu hana kona kona kapeace babu anataka kukupa password ya card yake ya bank πΉ
Upewe ungo upae sasa, ushafuzu uchawi bro πππBantu Lady huyu usije kumpa hata vocha ya jero. Please please usije kumpa
πππ shangazi ana kisirani kweli, yote anataka kutudhulumu NSSF zetu πΉShangazi anapita kama hatuoni vileπ
Nipe kidogo nionje km sukari ndogo uongeze mahi π€£π€£π€£We nitakupa ikiwa ya motooo
Kitu hot
Nipe km mwezi 1 hivi ichemke vzr
Halafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! πEeeh umepigaje hapo, dubai ya dubai au ya kimara bonyokwa!!!
Hatutakubaliπππ shangazi ana kisirani kweli, yote anataka kutudhulumu NSSF zetu πΉ
Naapa kwa jina la mizimu ya kwetu nenda na babu Grahams utakuja kunishukuru baadae π€£π€£Hawa mababu watanifia mwaka huu maana nashindwa nichague yupi niache yupi na wote nawataka
Shem siku hizi kapoa kweli..! Itakuwa shangazi kamlisha limbwata π€£π€£π€£Hatutakubali
Shem Sele atamsaidia kulipa
Watulipe kwanza kabla hawajapoa.Shem siku hizi kapoa kweli..! Itakuwa shangazi kamlisha limbwata π€£π€£π€£
Pesa zetu hatulipwi nakwambia, tutafute mwanasheria atusaidie hivi hivi hatutoboi πΉ
Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia πππWatulipe kwanza kabla hawajapoa.
Hivi humu hakuna mwanasheria kweli?
Hivi wanabarikia kanisani au msikitini?Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia πππ
Ngoja tuongee na kibatala atusaidie au Tito Magoti hizi pesa shangazi must alipe asitutanie πΉ
πππafanye niuone huo mkono wa bwana sio kwa masifa hayaHalafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! π
Babu anagawa ticket za flight km una ndinga lako unapewa pesa ya mafuta full tank πΉπΉπΉ
Dubai nnayo tena babu Grahams kumuonyesha jeuri huyu em mpe laki ya vocha aache dharau π€£π€£π€£
Hapo sijui itakuwa ya kiserikali πHivi wanabarikia kanisani au msikitini?
Tukomae kwanza na Sele,Amsaidie Shangazi kulipa haya malimbikizo.