Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
ASAP mahi 😹Mbna hukujiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASAP mahi 😹Mbna hukujiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 kapeace week ya 6 babu anakusubiri akupe urithi wa mashamba unambwela?Amejua Wazee hatuna madhara, lakini nimemuomba aniletee Kiko hii ni wiki ya 6 sasa hataki hata kuja 😜🏋️🏋️
Upewe ungo upae sasa, ushafuzu uchawi bro 😂😂😂Bantu Lady huyu usije kumpa hata vocha ya jero. Please please usije kumpa
😂😂😂 shangazi ana kisirani kweli, yote anataka kutudhulumu NSSF zetu 😹Shangazi anapita kama hatuoni vile😂
Nipe kidogo nionje km sukari ndogo uongeze mahi 🤣🤣🤣We nitakupa ikiwa ya motooo
Kitu hot
Nipe km mwezi 1 hivi ichemke vzr
Halafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! 😜Eeeh umepigaje hapo, dubai ya dubai au ya kimara bonyokwa!!!
Hatutakubali😂😂😂 shangazi ana kisirani kweli, yote anataka kutudhulumu NSSF zetu 😹
Naapa kwa jina la mizimu ya kwetu nenda na babu Grahams utakuja kunishukuru baadae 🤣🤣Hawa mababu watanifia mwaka huu maana nashindwa nichague yupi niache yupi na wote nawataka
Shem siku hizi kapoa kweli..! Itakuwa shangazi kamlisha limbwata 🤣🤣🤣Hatutakubali
Shem Sele atamsaidia kulipa
Watulipe kwanza kabla hawajapoa.Shem siku hizi kapoa kweli..! Itakuwa shangazi kamlisha limbwata 🤣🤣🤣
Pesa zetu hatulipwi nakwambia, tutafute mwanasheria atusaidie hivi hivi hatutoboi 😹
Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia 😂😂😂Watulipe kwanza kabla hawajapoa.
Hivi humu hakuna mwanasheria kweli?
Hivi wanabarikia kanisani au msikitini?Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia 😂😂😂
Ngoja tuongee na kibatala atusaidie au Tito Magoti hizi pesa shangazi must alipe asitutanie 😹
😂😂😂afanye niuone huo mkono wa bwana sio kwa masifa hayaHalafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! 😜
Babu anagawa ticket za flight km una ndinga lako unapewa pesa ya mafuta full tank 😹😹😹
Dubai nnayo tena babu Grahams kumuonyesha jeuri huyu em mpe laki ya vocha aache dharau 🤣🤣🤣
Hapo sijui itakuwa ya kiserikali 😂Hivi wanabarikia kanisani au msikitini?
Tukomae kwanza na Sele,Amsaidie Shangazi kulipa haya malimbikizo.