Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimepitia comments kwa uchache ila kuna umbea nimeuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijui niseme? Au basi siku nyingine 😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpelekee babu ugolo, ila mahi twende mbele tusirudi nyuma UMESIMAMA
Yani roho itaniuma babu akikosa kutalii hizo hips 😹
Babu yangu napenda azeeke vizuri bila stress na pension zake..!
Nimecheka jf watuwekee voice chat aaaaiiii, asante kwa kunifurahisha na kunipamba namna hii!! 🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo border Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!
Dah.! Sijui ntafanyaje hao katarama na premier nilitaka uzoefu wao, mana kampuni zingine zinapoteza mizigo ya watu.
Kwa kweli hii route sijawahi kujaribu kusafirisha mzigo ila jaribu premier
 
Halafu aselfike jamani
Tumemiss picha Kali,picha za itel tumezichokaa humu

Tajiri wa dunia pia Bantu Lady tunasubiri atusafishie ukungu
 
Nimepitia comments kwa uchache ila kuna umbea nimeuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijui niseme? Au basi siku nyingine 😹😹
Bora umeonekana!!
Kuna mda nikasema au we ndo D double D. Nikawa nawasi wasi sana aise.
 
Naona umeungana na Kapachino kunitia Presha Babu yenu πŸ™ŒπŸ˜‚

Hata hivyo, kama ulikula vya watu miaka 47 iliyopita, si wahusika watakuwa wamesahau😜

Kuweni na huruma na Wazee πŸ€—
Wajukuu kama wanautaka
Ni mwendo wa ubaya ubwela tu.
 
Sawa sawa tuendelee kuburudika vipi mtoto alipona?
Kabiiiiiiiiiiiiiisa story fupi fupi picha kwawingi!

Yeah alipona vishaisha zimebaki alama tu but with time nazo zinaenda kuisha ila taratibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…