Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Asikuchoshe sina jipya mi mwenyewe njaa tupu, we muone shangazi mke wa sele akupe mchongo 🤣🤣🤣Nkamu yupo busy na umbea
Labda BMoney nianze naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikuchoshe sina jipya mi mwenyewe njaa tupu, we muone shangazi mke wa sele akupe mchongo 🤣🤣🤣Nkamu yupo busy na umbea
Labda BMoney nianze naye
Ugombee kitu gani?Wazee wameniomba nigombee,2025.View attachment 3118005
Ubunge😄😄Ugombee kitu gani?
Hujambo LNimepitia comments kwa uchache ila kuna umbea nimeuona 😂😂😂
Sijui niseme? Au basi siku nyingine 😹😹
Nimecheka jf watuwekee voice chat aaaaiiii, asante kwa kunifurahisha na kunipamba namna hii!! 🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Mpelekee babu ugolo, ila mahi twende mbele tusirudi nyuma UMESIMAMA
Yani roho itaniuma babu akikosa kutalii hizo hips 😹
Babu yangu napenda azeeke vizuri bila stress na pension zake..!
Wakufundisha Kemia?Asikuchoshe sina jipya mi mwenyewe njaa tupu, we muone shangazi mke wa sele akupe mchongo 🤣🤣🤣
Kaah!Alinunua yeye 🤣🤣
Kwa kweli hii route sijawahi kujaribu kusafirisha mzigo ila jaribu premierHiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo border Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!
Dah.! Sijui ntafanyaje hao katarama na premier nilitaka uzoefu wao, mana kampuni zingine zinapoteza mizigo ya watu.
Halafu aselfike jamaniBabu huyu lazima umpate kwanza pisi ya moto hii kuikosa ni sawa km hujaizunguka dunia 😹😹😹
Huyu mtoto wa moto babu.!! Kaizidi ile mibibi yoteee 🤣🤣🤣
Huyu mtoto kasimama, unakijua kisu? Sasa hii sparkle achana na ile mijokeri imezeeka 😹😹😹🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Bora umeonekana!!Nimepitia comments kwa uchache ila kuna umbea nimeuona 😂😂😂
Sijui niseme? Au basi siku nyingine 😹😹
Umefanikiwa😂😂😂 Hapa kimenileta hiko cha kutuma parcel nisingekuja, jana nilikuwa busy jikoni mahi nimetengeneza had juisi za mwebrania 😹
Una shingo nzuri dada, halafu umeongeza kilo au ni picha?
Sawa sawa tuendelee kuburudika vipi mtoto alipona?Asante.Itakua Kamera tu imenijaza
Kabiiiiiiiiiiiiiisa story fupi fupi picha kwawingi!Sawa sawa tuendelee kuburudika vipi mtoto alipona?
Pambana mkuu, ndio mida yake hii jimboni.Ubunge😄😄
Kama ana karangi hayo madoa yatachukua muda mrefu hata miaka kadhaa,Kabiiiiiiiiiiiiiisa story fupi fupi picha kwawingi!
Yeah alipona vishaisha zimebaki alama tu but with time nazo zinaenda kuisha ila taratibu sana
Yeah ana karangi yanaonekanajee! Halafu naona yanakua meusiKama ana karangi hayo madoa yatachukua muda mrefu hata miaka kadhaa,