Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetokea muujiza Mpendwa,sijui ni jana sijui juzi
Abiria wa Shabiby waliokata tiketi Dar Dom wakapewa ofa ya kupanda ndege precision πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunasubiri sijui hii bahati itajirudia tena lini
Yaani hakuna usafiri nauchukia kama huo japo kuwa nimepanda mara nyingi,naogopa pale inapoanza kupaa na kushuka 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…