Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umetokea muujiza Mpendwa,sijui ni jana sijui juzi
Abiria wa Shabiby waliokata tiketi Dar Dom wakapewa ofa ya kupanda ndege precision 😂😂😂
Tunasubiri sijui hii bahati itajirudia tena lini
Yaani hakuna usafiri nauchukia kama huo japo kuwa nimepanda mara nyingi,naogopa pale inapoanza kupaa na kushuka 😁😁😁
 
Watu wa Morogoro njooni mninunulie soda 🙇🏾‍♀️
View attachment 3124276View attachment 3124277View attachment 3124278
Namtuma muhudumu akuletee kinywqji
20241013_233715.jpg
 
Back
Top Bottom