Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Kismayo hatari na nusu😅Hahah, haiwezekaniii
Kumbe sio mahala pa masihara kutoboa?
Na ni ilikuwa Mogadishu au kipande gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kismayo hatari na nusu😅Hahah, haiwezekaniii
Kumbe sio mahala pa masihara kutoboa?
Na ni ilikuwa Mogadishu au kipande gani?
Inshaalah kipenzi itakuwa😍Mpendwa🔥🔥🔥🔥
Sisi wengine tunafukuzia ofa za precision Kwa Shabiby ili tukwee pipa
Hahah, noma sana.Kismayo hatari na nusu😅
Umetokea muujiza Mpendwa,sijui ni jana sijui juziInshaalah kipenzi itakuwa😍
Kunicheki hapana mkuu,Ukiwa na nia utafika inshaalah😍Hahah, noma sana.
Lugha pia si itanipa changamoto kuwasiliana nao?
Nitahitaji taarifa zaidi kufika huko, naweza kukucheki?
Yaani hakuna usafiri nauchukia kama huo japo kuwa nimepanda mara nyingi,naogopa pale inapoanza kupaa na kushuka 😁😁😁Umetokea muujiza Mpendwa,sijui ni jana sijui juzi
Abiria wa Shabiby waliokata tiketi Dar Dom wakapewa ofa ya kupanda ndege precision 😂😂😂
Tunasubiri sijui hii bahati itajirudia tena lini
Abiria wa Shabiby ilikuwa ni shangwe wakaokota dodo kwenye mnazi😂😂😂Yaani hakuna usafiri nauchukia kama huo japo kuwa nimepanda mara nyingi,naogopa pale inapoanza kupaa na kushuka 😁😁😁
Namtuma muhudumu akuletee kinywqjiWatu wa Morogoro njooni mninunulie soda 🙇🏾♀️
View attachment 3124276View attachment 3124277View attachment 3124278
Asante sana..Kunicheki hapana mkuu,Ukiwa na nia utafika inshaalah😍
Dah! nyumbani.Watu wa Morogoro njooni mninunulie soda 🙇🏾♀️
View attachment 3124276View attachment 3124277View attachment 3124278
I'm anxiously waiting 🙇🏾🙇🏾😁Namtuma muhudumu akuletee kinywqji
View attachment 3124316
😂😂😂😁😁Timu mbovu hiyo mkuuu
😍😍😍Watu wa Morogoro njooni mninunulie soda 🙇🏾♀️
View attachment 3124276View attachment 3124277View attachment 3124278
Hiyo timu na man U dam dam😂😂😂😁😁
Naunga mkono hoja kaka 😂 😁Hiyo timu na man U dam dam
Mateso ni Haki yetu kabisa.Ndo maana mkaambiwa mmeumbiwa mateso 😀😀
Sisi tumeamka Salama salmini.Habari za asubuhi waheshimiwa na matajiri kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Happy Nyerere day...Naunga mkono hoja kaka 😂 😁