Unanichosha kujieleza, katafute nyuzi walizokuwa wanagombana kuna sehemu feli alifunguka yote..!!Ukimaanisha kwamba fake p na felista ndio walikutuma ugombane?π€£π€£π€£π€£
Hii kahawa hapana asee hapa umetupiga changa la macho
Msaa flan hivi wa buku jeroπ€£π€£π€£π€£Umeamua ujilipuwe leo πΉπΉ
Naomba saa na Tshirt
Katika harakati za kupasha shahawa jotoNa mi nilijua ni changa la macho πΉπΉ
Unanidolishia? πΉMsaa flan hivi wa buku jeroπ€£π€£π€£π€£
View attachment 3673597
Badooo, jana ilikua trailerHivi nimepitwaje uduguu? πΉπΉπΉ
Humu jana kuliwaka?
Em nismaraizie kwanza..!!
πππMuda ndo huu jamani njooni uzi upigwe ban kwa muda πΉπΉπΉ
HUyu ndio tuma aliyemuimba marehemu tx moshi william?
πππAnatuchelewesha ujue πΉπΉπΉ
Halafu humu kuna kiberiti ngoma mchonganisha watu wog awe makini..!!
Mambo si hayo ππKatika harakati za kupasha shahawa joto
Nimeona km yuko majuu, nikahisi ananichota,πΉπΉπΉ G ni mjinga mmoja hivi anajifanya anaplay low key.. yupo mambele kweli lakini ni kitengo Huyo..!!
πππππΉπΉπΉπΉ Atutajie mwenyewe nna hamu nimjue..!!
πππAnaleta nusu nusu ananiboa πΉπΉ
Hakuna mnafiki dunia hii kuliko ww mshikaji wangu,ππ€£Mambo si hayo ππ
Maka una vitu vyangu kabisa..!!
Hapo pa kupashaβ¦β¦. πΉπΉπΉ
Ooooh kumekuchaa, kuna nini humu ndanii.Wog nataka ukija na shengesha lako naomba unitajie na huyo kichaa aliyekufata kukuulizia taarifa zangu nimsuuze hapa hapa sitaki kukaa na viporo..!!
Umefika πΉπΉπΉBadooo, jana ilikua trailer
πππ
Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.Ukashindwa kuchagua upande πΉπΉ
Sema nilikuelewa bana chino.!!
Yani wog litamkuta jambo soon tupo hapa wanakamati.!! Na alivyo hachelewi kulia sasa πΉπΉπΉπππ
Mlongooo!! Nambiee.Mlongo.
Ninazo nyingi ntakupa mojaπUnanidolishia? πΉ
Nitakuja kuinyangβanya kinguvu we niringie..!!
πΉπΉπΉ Mafwele ana namba za nchi tofauti tofauti..!!Nimeona km yuko majuu, nikahisi ananichota,
πππ