Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuona ukielekea masomoni mdogo wangu😁

Hizo kalamu nimetumia primary tulikuwa tunazipenda mno darasa letu!
Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .

Pen hizo karibia chuo kizima nilikuwa nazo Mimi , siku Moja Mwalimu aliniona nayo alifurahi sana akasema nimemkumbusha mbali kwa Pen hizo walikuwa wanatumia enzi zao na akashangaa kukuta bado zipo 😆
 
Mtihani wa level gani ya elimu ndugu?
 
Sasa nakuwingiaje hivi hivi tu? Tangaza dau🤣
Tamaa hizo, huyo mjomba ako angekuwa anakaa chanika ungetaka kupiga uwinga? 😹😹

Em niweke kwanza afu mambo mengine yanazungumzika..!!
 
Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣
Ili akanipandishe boda tule mzinga 😹
Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣

Shangazi ndio tatizo🤣
Shangazi yako hata kiswahili hajui em acha hizo, atajua wote wapwa zake..!!
Mbona unanibania utafikiri utaliwa wewe.!! 😹😹

Kama kazi imekushinda nipe namba za mamaako, najua wifi yangu hawezi kuniangusha..!! 😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…