100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Faili lake ninalo...We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
๐๐๐๐ Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waolMziki wa Manengelo ulikua ni wa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
๐๐๐๐ Alooooooh.
๐๐๐๐ JF ni kukaa kimasta tu. Ukiyatindinganyaa basi kinakulambaaa alooo.Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol
Yule tajiri wa vocha selfika ilikuwaje kuwaje akaacha ndala humu! Kwenye seke seke lile haukuwemo kweli๐๐๐๐ Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.
Nasemaje ubuyu wangu humu nitawaletea mwenyewe.
๐๐๐๐
Umeenda wapi tenaNasubiri nimekaa kwa utuo
Nipo ba mtuUmeenda wapi tena
Nimefurahi ulivoniita!!Nipo ba mtu
๐น๐น๐น Watajua kweli waanze kukufata uwape connection za LamomyMchuchu una bahati wewe! Una lichino halijui hata kutangaza; jipige kifua hebu
Yule napenda kumzingua apandishe mashetani yake ๐น๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃkwanini umharibie uzi wake
Miongoni mwa vitu navovilinda kwa wivu mkubwa basi ni wewe!!๐น๐น๐น Watajua kweli waanze kukufata uwape connection za Lamomy
๐น๐น๐น๐นMziki wa Manengelo ulikua ni wa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
๐๐๐๐ Alooooooh.
๐น๐น๐น Yani mi niwe Demiss?Nilikuwag namfananisha lamomy na Demis sanaaaaa ila kumbe watu tofauti..
Nikipata file lake namtupia mwenyewe alisome then tujue tunapindua vipi meza..!! ๐น๐น๐นWe mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
Uwe na file la coca utulie wewee ๐น๐น๐นFaili lake ninalo...
Yani wewe mwanaume inabidi awe down sana nahisi walau kidogo anaweza pata attention yako๐น๐น๐น Mahusiano kwanza yalishnishinda, siwezi kubembeleza..!!
Basi usiweke ๐Nimefurahi ulivoniita!!
Uwe unaniita ivi ivi basi
Naked au emoj
๐น๐น๐น๐น Na wakaka wa humu wako chap kushusha pdf wakitoka kutafuna mizigo..!!Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol