Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu nimegundua picha nyingi zinazowekwa humu ni za viungo vya kutamanishana tu. Halafu huoni chote unabaki tu na hamu zako[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mungu anawaona
Tena ngoja niweke trakooooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila mtu ni mbea hasa mtandao huu, unajikuta unatamani umjue fulani maisha yake nk

nakutamania kweli unavyowachora wenzio ila usiwachomolee betri tafadhali
Alafu mmoja ni mwanamke mwingine ni mwanaume ika huyu mwanamke ndo anajishauwaga sana humu hata kipindi cha mwanzo niliwahi kumuhisi na kweli ndo nimekuja kumwona ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…